Mgombea wa upinzani Martin Fayulu ameonya tume ya uchaguzi kutoficha ukweli

Mgombea wa upinzani Martin Fayulu ameonya tume ya uchaguzi kutoficha ukweli - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mgombea wa upinzani Martin Fayulu ameonya tume ya uchaguzi kutoficha ukweli, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mgombea wa upinzani Martin Fayulu ameonya tume ya uchaguzi kutoficha ukweli
kiungo : Mgombea wa upinzani Martin Fayulu ameonya tume ya uchaguzi kutoficha ukweli

soma pia


Mgombea wa upinzani Martin Fayulu ameonya tume ya uchaguzi kutoficha ukweli

Martin Fayulu, mgombea wa upinzani anasema mamlaka sharti itangaze matokeo ya uchaguzi ili kuzima taharuki inayoshuhudiwa nchini.

Mgombea wa urais wa upinzani nchini Congo DRC Martin Fayulu amewaonya maafisa wa uchaguzi dhidi ya ''kuficha ukweli'' huku hali ya taharuki ikiendelea kutanda baada ya matokeo ya uchaguzi kucheleweshwa.

Bwana Fayulu amesema "watu wa Congo tayari wanajua" matokeo ya uchaguzi uliyofanyika Desemba 30 kuahirishwa kwa wiki moja.

Matokeo ya awali ya uchaguzi huo yalitarajiwa kutangazwa siku ya Jumapili ya Januari 6 lakini yakaahirishwa.

CHANZO: BBC Swahili.


Hivyo makala Mgombea wa upinzani Martin Fayulu ameonya tume ya uchaguzi kutoficha ukweli

yaani makala yote Mgombea wa upinzani Martin Fayulu ameonya tume ya uchaguzi kutoficha ukweli Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mgombea wa upinzani Martin Fayulu ameonya tume ya uchaguzi kutoficha ukweli mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mgombea-wa-upinzani-martin-fayulu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mgombea wa upinzani Martin Fayulu ameonya tume ya uchaguzi kutoficha ukweli"

Post a Comment