title : Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points
kiungo : Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points
Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points
Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwazawadia wateja wa mtandao huo Tuzo Points pamoja na zawadi nyingine katika kampeni ya 'Baki Mule Mule Utuzwe na Tuzo Points' iliyofanyika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.
Wateja wa Vodacom wanaweza kupata Tuzo Points pale wanaponunua salio au kufanya miamala kupitia M-Pesa . Pointi hizo zinaweza kubadilishwa kuwa fedha, salio au bando. Katika msimu huu wa sikukuu, Vodacom Tanzania inawazawadia wateja wao pointi za Tuzo zenye thamani ya shilling Bilioni moja.
Hivyo makala Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points
yaani makala yote Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/vodacom-waendelea-kugawa-tuzo-points.html
0 Response to "Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points"
Post a Comment