Viboko kwa wanafunzi mashuleni 'vyaleta kizaa bungengeni' Bungeni .

Viboko kwa wanafunzi mashuleni 'vyaleta kizaa bungengeni' Bungeni . - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Viboko kwa wanafunzi mashuleni 'vyaleta kizaa bungengeni' Bungeni ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Viboko kwa wanafunzi mashuleni 'vyaleta kizaa bungengeni' Bungeni .
kiungo : Viboko kwa wanafunzi mashuleni 'vyaleta kizaa bungengeni' Bungeni .

soma pia


Viboko kwa wanafunzi mashuleni 'vyaleta kizaa bungengeni' Bungeni .

 Image result for picha za ndugai

Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema bila viboko shuleni mambo hayaendi vizuri. Amesema hata yeye amewahi mtandika mtu viboko.

Spika amesema hayo leo Alhamisi Januari 31, bungeni jijini Dodoma baada ya Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, kusema viboko vitaendelea kutumia shuleni.

Ole Nasha alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Katimba.

Katika swali lake Katimba alitaka kujua kama adhabu ya viboko inaongeza kiwango cha ufaulu.

Akijibu swali hilo, Ole Nasha amesema Serikali itaendelea kusisitiza matumizi sahihi ya adhabu kwa wanafunzi ili kuleta tija katika ufundishaji na ujifunzaji.

==>>Tazama hapo chini
Advertisement


Hivyo makala Viboko kwa wanafunzi mashuleni 'vyaleta kizaa bungengeni' Bungeni .

yaani makala yote Viboko kwa wanafunzi mashuleni 'vyaleta kizaa bungengeni' Bungeni . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Viboko kwa wanafunzi mashuleni 'vyaleta kizaa bungengeni' Bungeni . mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/viboko-kwa-wanafunzi-mashuleni-vyaleta.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Viboko kwa wanafunzi mashuleni 'vyaleta kizaa bungengeni' Bungeni ."

Post a Comment