Serikali kushirikiana na Guru Planet kuwainua Wajasiriamali Ilala

Serikali kushirikiana na Guru Planet kuwainua Wajasiriamali Ilala - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali kushirikiana na Guru Planet kuwainua Wajasiriamali Ilala, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali kushirikiana na Guru Planet kuwainua Wajasiriamali Ilala
kiungo : Serikali kushirikiana na Guru Planet kuwainua Wajasiriamali Ilala

soma pia


Serikali kushirikiana na Guru Planet kuwainua Wajasiriamali Ilala


Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto (katikati) akipata Maelezo kutoka kwa Mjasiriamali katika maonyesho yalioandaliwa na Kampuni ya Guru Planet Kwa kushirikiana na Manispaa ya Ilala maonyesho hayo yanaendelea viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam wengine Ofisa Maendeleo Ilala Fransica Makoye,Ofisa Vijana Sapiencsia Masaga na Mkurugenzi wa Guru Planet Nickson Martin (PICHA NA HERI SHAABAN)

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akiangali maonyesho ya Wajasiriamali yalioandaliwa na Guru Planet kwa kushirikiana na Manispaa ya Ilala Dar es salaam maonesho hayo yanafanyika viwanja vya Mnazi mmoja wengine ni maofisa Maendeleo ya Jamii Fransica Makoye na Ofisa Vijana Manispaa ya Ilala Sapiencia Masaga (PICHA NA HERI SHAABAN)

Na Heri Shaban
Serikali imesema itashirikiana na Kampuni ya Guru Planet kuwainua Wajasiriamali wa Wilaya ya Ilala.

Hayo yalisemwa na Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto wakati wa ufunguzi wa tamasha la Wajasiriamali lililoandaliwa na Kampuni ya Guru Planet kwa kushirikiana na Manispaa ya Ilala Dar es Salam jana ambapo zaidi ya vikundi 300 vimeshiriki.

Akizunguza katika tamasha hilo Naibu Meya Ilala Kumbilamoto alisema dhumuni la manispaa ya Ilala kufanya tamasha Kwa kushirikiana na Kampuni ya Guru Planet ulitokana na Guru Planet imekuwa ikiendesha shughuli zake za kuwajengea uwezo Wajasiriamali na kuwatafutia fursa za mitaji pamoja na masoko.


"Sisi kama Serikali tumeona Guru Planet ni mdau muhimu ambaye amewaweka Wajasiriamali kwa ukaribu na kuwawezesha  kukuza utaalam wao kila wakati, hata hivyo Manispaa Ilala imekuwa ikishirikiana na wadau mbalimbali wa Maendeleo ili kuakikisha fursa zinapatikana kwa wadau hao zinafika kwa Wajasiriamali walengwa.

Alisema Wajasiriamali wengi hawafamu fursa zilizopo hivyo inaitajika kuchukua hatua ili kunufaika na fursa hizo hivyo tutumie tamasha hili la Manispaa ya Ilala na Guru Planet kujifunza zaidi kuhusu fursa zilizopo.

Kumbilamoto alisema Rais John Magufuli ameweza kuchukua jitihada mbalimbali za kuwaboreshea Mazingira ya Biashara Wajasiriamali ikiwa pamoja na kuwatengezea vitamburisho maalum  kwa gharama ya 20,000 ili waweze kufanya Biashara zao Mazingira rafiki.lengo Serikali kuwatatulia changamoto waweze kukuza uchumi na Taifa kwa Jumla.

Aidha pia alitumia nafasi hiyo kuwapongeza wadau wote wa Maendeleo kwa kushirikiana na Serikali katika kutekeleza agizo la Rais John Magufuli kujenga dhana ya uchumi wa viwanda ili kuelekea uchumi wa kati.

Aliwapongeza Manispaa ya Ilala kwa kushirikiana na Kampuni ya Guru planet katika kuandaa maonesho hayo yaliobeba kauli mbiu Mwaka huu "Ujasiriamali ni chachu ya kukuza uchumi wa nchi na Maendeleo ya viwanda, tumia fursa zilizopo wacha kulalamika" ujumbe huo unakwenda sambamba na azima ya Serikali ya awamu ya tano ambayo imekusudia kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda na uchumi wa kati ifikapo Mwaka 2025 .

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kampuni ya Guru Planet Nickson Martin Alisema  katika maonesho hayo matarajio Wajasiriamali watajifunza na kutambua fursa mbalimbali zinazopatikana Kwa serikali Pamoja na wadau wake.

Martin alisema pia taasisi mbalimbali zinazosimamia au kutoa huduma mbalimbali za kiuchumi zinatarajia kutoa majibu ya changamoto zinazowakabiri kama vile kuzalisha kwa viwango




Hivyo makala Serikali kushirikiana na Guru Planet kuwainua Wajasiriamali Ilala

yaani makala yote Serikali kushirikiana na Guru Planet kuwainua Wajasiriamali Ilala Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali kushirikiana na Guru Planet kuwainua Wajasiriamali Ilala mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/serikali-kushirikiana-na-guru-planet.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Serikali kushirikiana na Guru Planet kuwainua Wajasiriamali Ilala"

Post a Comment