TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA

TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA
kiungo : TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA

soma pia


TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA

Baba mzazi wa wasanii wa bongofleva nchini Ali kiba pamoja na Abdul kiba Mzee salehe Kiba amefariki leo alfajiri  katika hospital ya Taifa Muhimbili alipokua akipatiwa matibabu.

Taarifa za awali zianeleza kuwa msiba huo utakuwa karikaoo nyumbani kwa marehemu Mzee salehe kiba.

Taratibu za Mazishi bado zinaendelea kupangwa na wanafamilia ili kuupumzisha mwili wa Mzee kiba mahali pema.

Uongozi wa Michuzi Media Group unatoa pole kwa familia ya Mzee kiba na kwa wale wote walioguswa na msiba huo katika kipindi hiki kigumu.

TUTAWALEZA TAARIFA ZAIDI KUHUSIANA NA MSIBA HUU.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN


Hivyo makala TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA

yaani makala yote TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/tanziababa-mzazi-wa-msanii-alikiba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA"

Post a Comment