TANROADS MKOANI PWANI KUTUMIA BILIONI 25.4 MATENGENEZO YA BARABARA

TANROADS MKOANI PWANI KUTUMIA BILIONI 25.4 MATENGENEZO YA BARABARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANROADS MKOANI PWANI KUTUMIA BILIONI 25.4 MATENGENEZO YA BARABARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANROADS MKOANI PWANI KUTUMIA BILIONI 25.4 MATENGENEZO YA BARABARA
kiungo : TANROADS MKOANI PWANI KUTUMIA BILIONI 25.4 MATENGENEZO YA BARABARA

soma pia


TANROADS MKOANI PWANI KUTUMIA BILIONI 25.4 MATENGENEZO YA BARABARA

Na Mwamvua Mwinyi
WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Pwani ,unatarajia kutumia kiasi cha sh.bilioni 25.4 kwa ajili ya kufanya matengenezo mbalimbali ya barabara kwa bajeti ya mwaka 2018-2019. Hayo yalisemwa mjini Kibaha na meneja wa TANROADS mkoani hapo, mhandisi Yudas Msangi,  wakati wa kikao cha bodi ya barabara cha mkoa huo .

Alieleza, hadi kufikia septemba 2018 zimepokelewa kiasi cha sh. milioni 958.7  kwa ajili ya matengenezo mbalimbali. "Katika kipindi hicho kiasi cha shilingi bilioni mbili zimetumika kufanya matengenezo mbalimbali kwenye barabara kuu", 

"Kazi za matengenezo zilichelewa kuanza kutokana na taratibu za manunuzi na uhakiki wa mikataba ambavyo huchukua muda mrefu kukamilika hasa mikataba inayohakikiwa kwa mwanasheria mkuu wa serikali"alisema Msangi. Aidha Msangi alibainisha, mkoa umepanga kufanya miradi ya maendeleo ya barabara zenye urefu wa kilometa 32.5 zenye thamani ya sh.bilioni 2.3.

Alisema,meneja huyo alisema kwenye miradi hiyo ya maendeleo sh. bilioni 1.3 ni bajeti ambapo sh.milioni 969 ni kutoka mfuko wa barabara vilevile bilioni 7.5 ni kutoka serikali zitafanya ukarabati kwa kiwango cha changarawe/udongo. Nae mkuu wa  mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo alieleza, ili kuboresha barabara za mkoa huo watendaji wanapaswa kuwa waadilifu.

"Kutokana na mkoa kuwa na viwanda vingi uboreshaji wa miundombinu ya barabara utasaidia kuinua uchumi wa wananchi na Taifa":" Pia Muwe makini na baadhi ya watu wanaoharibu miundombinu ya barabara ," alisema Ndikilo.
 Mkuu wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza jambo wakati wa kikao cha bodi ya barabara mkoani hapo akizungumza jambo. (Picha na Mwamvua Mwinyi) 
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha bodi ya barabara mkoani Pwani wakisikiliza jambo. 


Hivyo makala TANROADS MKOANI PWANI KUTUMIA BILIONI 25.4 MATENGENEZO YA BARABARA

yaani makala yote TANROADS MKOANI PWANI KUTUMIA BILIONI 25.4 MATENGENEZO YA BARABARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANROADS MKOANI PWANI KUTUMIA BILIONI 25.4 MATENGENEZO YA BARABARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/tanroads-mkoani-pwani-kutumia-bilioni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANROADS MKOANI PWANI KUTUMIA BILIONI 25.4 MATENGENEZO YA BARABARA"

Post a Comment