JAMHURI YAIBANA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI

JAMHURI YAIBANA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAMHURI YAIBANA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAMHURI YAIBANA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI
kiungo : JAMHURI YAIBANA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI

soma pia


JAMHURI YAIBANA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI

Mabigwa watetezi wa kombe la Mapinduzi, Azam FC jana walianza kwa kupata sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Jamhuri katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar.

Kocha Mkuu wa  Azam FC, Hans Pluijm amesema kwa sasa hesabu zao ni kwa mchezo wao unaofuata dhidi ya KVS utakaochezwa Januari 7 Uwanja wa Amaan.

"Tupo tayari kwa ajili ya michuano hii na tutafanya vizuri hasa kutokana na kikosi bora na wachezaji wenye uwezo wa kutafuta matokeo Uwanjani," alisema.

Michuano hiyo inatarajiwa kukamilika Januari 13 katika Uwanja wa Gombani,uliopo Pemba na mshindi atapewa zawadi ya shilingi Milioni 15 pamoja na medali. 


Hivyo makala JAMHURI YAIBANA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI

yaani makala yote JAMHURI YAIBANA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAMHURI YAIBANA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/jamhuri-yaibana-azam-fc-kombe-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JAMHURI YAIBANA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI"

Post a Comment