RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA BARABARA YA KIJITOUPELE-FUONI MAMBOSASA ZANZIBAR

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA BARABARA YA KIJITOUPELE-FUONI MAMBOSASA ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA BARABARA YA KIJITOUPELE-FUONI MAMBOSASA ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA BARABARA YA KIJITOUPELE-FUONI MAMBOSASA ZANZIBAR
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA BARABARA YA KIJITOUPELE-FUONI MAMBOSASA ZANZIBAR

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA BARABARA YA KIJITOUPELE-FUONI MAMBOSASA ZANZIBAR



-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Kijitoupele-Fuoni mambosasa Wilaya ya Magharibi B Unguja ,ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Barabara ya Kijitoupele-Fuoni mambosasa Wilaya ya Magharibi B Unguja ,ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheir katika Ufunguzi wa Barabara ya Kijitoupele-Fuoni mambosasa Wilaya ya Magharibi B Unguja ,ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheir akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Barabara ya Kijitoupele-Fuoni mambosasa Wilaya ya Magharibi B Unguja ,ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Taswira ya sehemu ya Barabara ya Kijitoupele-Fuoni mambosasa Wilaya ya Magharibi B Unguja iliofunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi pamoja na Viongozi wa chama na Serikali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Barabara ya Kijitoupele-Fuoni mambosasa Wilaya ya Magharibi B Unguja ,ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA BARABARA YA KIJITOUPELE-FUONI MAMBOSASA ZANZIBAR

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA BARABARA YA KIJITOUPELE-FUONI MAMBOSASA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA BARABARA YA KIJITOUPELE-FUONI MAMBOSASA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-wa-zanzibar-dkshein-afungua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA BARABARA YA KIJITOUPELE-FUONI MAMBOSASA ZANZIBAR"

Post a Comment