title : RAIS DKT. SHEIN AONGOZA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
kiungo : RAIS DKT. SHEIN AONGOZA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
RAIS DKT. SHEIN AONGOZA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar, Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo, alipowasili katika viwanja vya Gombani Kisiwani Pemba, kuhudhguria Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwapungua Mkono Wananchi akiwa katika gari Maalum ya Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, wakati akiingia katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, akiwa Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar, Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea shatu ya Gwaride rasmin la maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliofadhimishwa kisiwani Pemba katika Uwanja wa Gombani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride rasmin la Sherehe za Mapinduzi kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba. leo (Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS DKT. SHEIN AONGOZA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS DKT. SHEIN AONGOZA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. SHEIN AONGOZA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-dkt-shein-aongoza-maadhimisho-ya.html
0 Response to "RAIS DKT. SHEIN AONGOZA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR"
Post a Comment