title : Twende App kuwawezesha wasafiri kupata huduma ya usafiri kupitia simu za mkononi
kiungo : Twende App kuwawezesha wasafiri kupata huduma ya usafiri kupitia simu za mkononi
Twende App kuwawezesha wasafiri kupata huduma ya usafiri kupitia simu za mkononi
Kampuni inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali nchini, Tigo Tanzania imeungana na kampni inayotoa huduma za usafiri Twende App kuzindua huduma mpya itakayowezehsa wasafiri kupata huduma bora, ya haraka na uhakika zaidi kupitia mfumo wa simu za mkononi unaojulikana kama Twende App.
TwendeApp ni mfumo wa kidigitali wa simu za mkononi unaowezesha wasafiri kutafuta na kupata usafiri wa taxi, pikipiki za magurudumu mawili (bodaboda) na zile za magurudumu matatu kupitia simu zao za mkononi kwa uhakika zaidi na kwa bei nafuu.
Twende App ambayo, tayari inatumika katika jiji la Dar es salaam, sasa imepanua wigo wake na kufikia miji ya Arusha, Morogoro, Mwanza, Kilimanjaro, Dodoma Iringa na Mbeya. Kuna mipango ya kusambaza huduma hiyo kwenda Zanzibar, Tanga na Mtwara.
Hivyo makala Twende App kuwawezesha wasafiri kupata huduma ya usafiri kupitia simu za mkononi
yaani makala yote Twende App kuwawezesha wasafiri kupata huduma ya usafiri kupitia simu za mkononi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Twende App kuwawezesha wasafiri kupata huduma ya usafiri kupitia simu za mkononi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/twende-app-kuwawezesha-wasafiri-kupata.html
0 Response to "Twende App kuwawezesha wasafiri kupata huduma ya usafiri kupitia simu za mkononi"
Post a Comment