NAIBU WAZIRI DK MABULA AKERWA MAKUSANYO MADOGO YA KODI YA ARDHI KATIKA HALMASHAURI

NAIBU WAZIRI DK MABULA AKERWA MAKUSANYO MADOGO YA KODI YA ARDHI KATIKA HALMASHAURI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI DK MABULA AKERWA MAKUSANYO MADOGO YA KODI YA ARDHI KATIKA HALMASHAURI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI DK MABULA AKERWA MAKUSANYO MADOGO YA KODI YA ARDHI KATIKA HALMASHAURI
kiungo : NAIBU WAZIRI DK MABULA AKERWA MAKUSANYO MADOGO YA KODI YA ARDHI KATIKA HALMASHAURI

soma pia


NAIBU WAZIRI DK MABULA AKERWA MAKUSANYO MADOGO YA KODI YA ARDHI KATIKA HALMASHAURI

Na Munir Shemweta, WANMM Geita.

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk Angeline Mabula amekerwa na makusanyo madogo ya mapato katika halmashauri mbalimbali nchini kupitia kodi ya ardhi.

Akizungumza na watendaji wa sekta ya ardhi wa Halmashauri za Mji na Wilaya ya Geita jana mkoani Geita alipofanya ziara ya kushtukiza kufuatilia utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa katika halmashauri hizo, Dk Mabula alisema, mapato ya sekta ya ardhi katika halmashauri nyingi hayaridhishi na kueleza kuwa halmashauri nyingi mapato yake yako chini ya asilimia 30.

Alisema pamoja na halmashauri hizo kuwa na mapato kidogo kupitia sekta ya ardhi lakini watendaji wake hawaoneshi jitihada zozote kuhakikisha wanakusanya mapato ya kutosha kupitia sekta hiyo na hivyo aliwataka watendaji hao kuongeza kasi ya ukusanyaji mapato kwa kuwa msisitizo wa serikali ya awamu ya tano ni kukusanya kodi.

‘’Kwa staili hii tutafika kweli? Mna bahati mbaya sasa watendaji wa sekta ya ardhi katika halmshauri mtakuwa chini ya wizara moja kwa moja na rais amepiga kelele kuhuisiana na kodi ninyi mnarelax’’ alisema Dk mabula.
Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk Angeline Mabula akizungumza alipowasili ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita alipofanya ziara katika mkoa huo jana kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake kuhusiana na sekta ya ardhi katika halmashauri za Mji na Wilaya ya Geita.



Hivyo makala NAIBU WAZIRI DK MABULA AKERWA MAKUSANYO MADOGO YA KODI YA ARDHI KATIKA HALMASHAURI

yaani makala yote NAIBU WAZIRI DK MABULA AKERWA MAKUSANYO MADOGO YA KODI YA ARDHI KATIKA HALMASHAURI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI DK MABULA AKERWA MAKUSANYO MADOGO YA KODI YA ARDHI KATIKA HALMASHAURI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/naibu-waziri-dk-mabula-akerwa-makusanyo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI DK MABULA AKERWA MAKUSANYO MADOGO YA KODI YA ARDHI KATIKA HALMASHAURI"

Post a Comment