title : MSANII BI KIDIDE ATOA OMBI KWA RC MAKONDA
kiungo : MSANII BI KIDIDE ATOA OMBI KWA RC MAKONDA
MSANII BI KIDIDE ATOA OMBI KWA RC MAKONDA
Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
MSANII Bi Kidide amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuwa amekuwa katika sanaa kwa zaidi ya miaka 25 lakin hakuna ambacho amenufaika nacho na hivyo anamuomba amsaidie.
Ametoa kauli hiyo leo wakati Makonda alipokutana na wasanii wa fani mbalimbali kwa lengo la kujadiliana nao mambo mbalimbali yanayohusu sanaa.
“Mkuu wangu wa Mkoa wa Dar es Salaam naomba nikwambie tu nipo kwenye sanaa kwa miaka 25 sasa lakini hakuna ambacho nimenufaika nacho.Naomba unisaidie name mambo yawe sawa,”amesema Bi. Kidide.
Bi Kidide pia amemuomba Makonda kuhakikisha wasanii wanapata bima ya afya ambayo ni muhimu kwa wasanii wa tasnia mbalimbali.
Hivyo makala MSANII BI KIDIDE ATOA OMBI KWA RC MAKONDA
yaani makala yote MSANII BI KIDIDE ATOA OMBI KWA RC MAKONDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSANII BI KIDIDE ATOA OMBI KWA RC MAKONDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/msanii-bi-kidide-atoa-ombi-kwa-rc.html
0 Response to "MSANII BI KIDIDE ATOA OMBI KWA RC MAKONDA"
Post a Comment