title : KHADIJA KOPA AMWAMBIA MAKONDA WANAMUZIKI WA TAARAB HAWATHAMINIWI…ATOA NENO
kiungo : KHADIJA KOPA AMWAMBIA MAKONDA WANAMUZIKI WA TAARAB HAWATHAMINIWI…ATOA NENO
KHADIJA KOPA AMWAMBIA MAKONDA WANAMUZIKI WA TAARAB HAWATHAMINIWI…ATOA NENO
Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
MWANAMUZIKI maarufu katika Muziki wa Taarab nchini Khadija Kopa amesema anasikitishwa na kitendo cha wasanii wa muziki huo kutopewa kipaumbele kama ilivyo kwa wasanii wengine wakiwamo wa Bongo Fleva na waigizaji filamu.
Kopa amesema hayo leo katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam baada ya Makonda kuamua kukutana na wasanii wa fani mbalimbali.
“Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam naomba niseme umenigusa sana kwenye hili la wasanii kuwa wamoja. Ni jambo muhimu kwa wasanii kuwa na umoja imara.Umoja ambao unazungumziwa uwe wa wasanii wote bila ya kuwapo ubaguzi.
“Nitoe kilio changu hasa kwa Serikali, wanamuziki wa taarab wanakufa lakini hakuna hata ushiriki wa Serikali wakati akitoa msanii wa muziki wa Bongo Fleva au waigizaji wa filamu wanathaminiwa na tunaona.Hivyo nitoe rai nasi tunastahili kuthaminiwa na kushirikishwa katika mambo mbalimbali,”amesema Kopa.
Amefafanua anashindwa kuelewa namna ambavyo jamii inawachukulia wanamuziki wa taarabu nchini”Sijui wanamuziki wa taarab tunaonekana ni watu maskini sana au sijui kuna nini?Tunastahili kuthaminiwa.”
Hivyo makala KHADIJA KOPA AMWAMBIA MAKONDA WANAMUZIKI WA TAARAB HAWATHAMINIWI…ATOA NENO
yaani makala yote KHADIJA KOPA AMWAMBIA MAKONDA WANAMUZIKI WA TAARAB HAWATHAMINIWI…ATOA NENO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KHADIJA KOPA AMWAMBIA MAKONDA WANAMUZIKI WA TAARAB HAWATHAMINIWI…ATOA NENO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/khadija-kopa-amwambia-makonda.html
0 Response to "KHADIJA KOPA AMWAMBIA MAKONDA WANAMUZIKI WA TAARAB HAWATHAMINIWI…ATOA NENO"
Post a Comment