MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA

MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA

soma pia

MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo (kulia) mara baada ya kuwasili katika eneo linalojengwa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Kamati ya Taifa ya Kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma Bw. Meshach Bandawe (kulia) mara baada ya kuwasili katika eneo linalojengwa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya kina juu ya maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (kushoto). (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
 Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira ukiendelea kwa kasi nzuri Ihumwa Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhandisi Joseph Malongo akielezea namna jengo la ofisi ya Makamu wa Rais litakavyokuwa mara baada ya ujenzi kukamilika katika eneo la Ihumwa, Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya kina juu ya maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (kushoto). (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua  maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma akiwa pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (kushoto) na Katibu Mkuu wa ofisi hiyo Mhandisi Joseph Malongo
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua  maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma akiwa pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (kushoto) na Katibu Mkuu wa ofisi hiyo Mhandisi Joseph Malongo 
 Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira ukiendelea kwa kasi nzuri Ihumwa Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu  mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
 akamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwagilia maji mti wa kumbukumbu  mara baada ya kuupanda katika eneo ambalo  Ofisi ya Makamu wa Rais inajengwa Ihumwa Dodoma  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira ukiendelea kwa kasi nzuri Ihumwa Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/makamu-wa-rais-akagua-maendeleo-ya_13.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA"

Post a Comment