title : KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA PROF. SIFUNI ATEMBELEWA NA BALOZI MELLO
kiungo : KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA PROF. SIFUNI ATEMBELEWA NA BALOZI MELLO
KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA PROF. SIFUNI ATEMBELEWA NA BALOZI MELLO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Tanzania wa kudumu wa Umoja wa Mataifa Balozi Modest Mello (wa tatu kulia) baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwa Katibu Mkuu. Wengine pichani ni Maafisa kutoka Wizara ya Katiba na Sheria na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushierikiano wa Afrika Mashariki.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akiagana na mgeni wake Balozi wa Tanzania wa kudumu wa Umoja wa Mataifa Balozi Modest Mello baada ya mazungumzo ofisini kwa Katibu Mkuu.
Hivyo makala KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA PROF. SIFUNI ATEMBELEWA NA BALOZI MELLO
yaani makala yote KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA PROF. SIFUNI ATEMBELEWA NA BALOZI MELLO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA PROF. SIFUNI ATEMBELEWA NA BALOZI MELLO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/katibu-mkuu-wizara-ya-katiba-na-sheria.html
0 Response to "KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA PROF. SIFUNI ATEMBELEWA NA BALOZI MELLO"
Post a Comment