title : KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU AKABIDHIWA OFISI
kiungo : KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU AKABIDHIWA OFISI
KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU AKABIDHIWA OFISI
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Bi. Maimuna Tarishi akishuhudia makabidhiano rasmi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Katibu Mkuu mpya (Sera na Uwekezaji), Bi. Dorothy Mwaluko kutoka kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Profesa, Faustin Kamuzora ambaye ameteuliwa hivi karibuni kuwa Katibu Tawala mkoani Kagera. Katibu Mkuu Mwaluko kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejineti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora
Aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Profesa, Faustin Kamuzora akishukuru kwa ushirikiano aliokuwa anapewa wakati akihudumu katika ofisi hiyo, kwa Katibu Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Bi. Maimuna Tarishi (katikati) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uwekezaji), Dorothy Mwaluko (kushoto )
Aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Profesa, Faustin Kamuzora akiwa katika picha ya pamoja na waliokuwa Makatibu Muhtasi wake, pamoja na Katibu Mkuu mpya Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uwekezaji), Dorothy Mwaluko (kulia), mara baada ya Profesa Kamuzora kumkabidhi ofisi rasmi. Picha na PMO
Hivyo makala KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU AKABIDHIWA OFISI
yaani makala yote KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU AKABIDHIWA OFISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU AKABIDHIWA OFISI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/katibu-mkuu-mpya-ofisi-ya-waziri-mkuu.html
0 Response to "KATIBU MKUU MPYA OFISI YA WAZIRI MKUU AKABIDHIWA OFISI"
Post a Comment