GOLIKIPA WA TIMU YA SIMBA SAID MOHAMED NDUDA APELEKWA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI.

GOLIKIPA WA TIMU YA SIMBA SAID MOHAMED NDUDA APELEKWA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa GOLIKIPA WA TIMU YA SIMBA SAID MOHAMED NDUDA APELEKWA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : GOLIKIPA WA TIMU YA SIMBA SAID MOHAMED NDUDA APELEKWA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI.
kiungo : GOLIKIPA WA TIMU YA SIMBA SAID MOHAMED NDUDA APELEKWA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI.

soma pia


GOLIKIPA WA TIMU YA SIMBA SAID MOHAMED NDUDA APELEKWA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI.

haji

Klabu ya Simba inapenda kuwajulisha wanachama na mashabiki wake kuwa,Golikipa wake wa kimataifa,Said Mohamed Nduda amepata matatizo ya goti ambayo yamempelekea kueleka India kwa ajili ya matibabu.
Nduda aliumia mazoezini wakati timu ikijiandaa kuelekea mchezo dhidi ya Yanga wiki ilipita,Matibabu hayo yatamuweka mchezaji huyo nnje kati ya wiki nne hadi sita kabla ya kujiunga tena na wenzake kwa ajili ya mazoezi na anatarajiwa kuondoka nchini mwishoni mwa wiki hii.
Klabu pia inayofuraha ,kuwaambia kuwa wachezaji wake John Bocco na Haruna Niyonzima ,ambaye alipata majeraha madogo juzi wameshaanza mazoezi na wenzao hii leo.
Huku pia Shomari Kapombe ambaye ni majeruhi wa muda mrefu naye anatarajiwa kuanza mazoezi siku chache zijazo baada ya madaktari kuthibitisha uzima wa afya yake.
Mwisho,Klabu inaufahamisha umma wa watanzania kupitia vyombo vya habari kuwa taarifa zote rasmi za klabu ya Simba zitakuwa zikitolewa katika mfumo na barua hii(Heading paper)
Pia Klabu inawaomba washabiki wake kote nchini kuendelea kuiunga mkono timu yao ili iendelee kufanya vizuri kwenye ligi kuu iliyoaanza wikiendi iliyopita.


Hivyo makala GOLIKIPA WA TIMU YA SIMBA SAID MOHAMED NDUDA APELEKWA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI.

yaani makala yote GOLIKIPA WA TIMU YA SIMBA SAID MOHAMED NDUDA APELEKWA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala GOLIKIPA WA TIMU YA SIMBA SAID MOHAMED NDUDA APELEKWA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/golikipa-wa-timu-ya-simba-said-mohamed.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "GOLIKIPA WA TIMU YA SIMBA SAID MOHAMED NDUDA APELEKWA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI."

Post a Comment