HATMA YA ANAYEDAIWA KUWA MALKIA WA MENO YA TEMBO NA WENZAKE KUJULIKANA FEBRUARI 15 MWAKA HUU

HATMA YA ANAYEDAIWA KUWA MALKIA WA MENO YA TEMBO NA WENZAKE KUJULIKANA FEBRUARI 15 MWAKA HUU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HATMA YA ANAYEDAIWA KUWA MALKIA WA MENO YA TEMBO NA WENZAKE KUJULIKANA FEBRUARI 15 MWAKA HUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HATMA YA ANAYEDAIWA KUWA MALKIA WA MENO YA TEMBO NA WENZAKE KUJULIKANA FEBRUARI 15 MWAKA HUU
kiungo : HATMA YA ANAYEDAIWA KUWA MALKIA WA MENO YA TEMBO NA WENZAKE KUJULIKANA FEBRUARI 15 MWAKA HUU

soma pia


HATMA YA ANAYEDAIWA KUWA MALKIA WA MENO YA TEMBO NA WENZAKE KUJULIKANA FEBRUARI 15 MWAKA HUU

 Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.
FEBRUARI 15, 2019 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga  kuwasomea hukumu washtakiwa watatu, akiwemo anayedaiwa kuwa malkia wa meno ya Tembo, ambaye ni raia wa China, Yang Feng Glan(66).

Uamuzi huo umefikwa leo Januari 29, 2019 baada ya pande zote mbili, ule wa mashtaka na utetezi kuwasilisha majumuisho yao ya mwisho mahakamani hapo jana (Januari 28, 2019).

Mapema,  Wakili wa Serikali,  Salim Msemo alidai Mahakamani hapo kuwa kesi  hiyo leo ilikuja  kwa ajili ya kutajwa ili iweze kupangiwa terehe kwa ajili ya hukumu.

Baada ya maelezo hayo, Hakimu Huruma Shaidi ameahirisha kesi hiyo hadi Februari 15, mwaka huu, itakapokuja kwa ajili ya kuwasomea washtakiwa hao Hukumu. Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Silvanus Matembo Na Philemon Manase.

Katika kesi hiyo, jumla ya mashahidi 11 wa upande wa mashtaka walifika mahakamani hapo kutoa ushahidi wao ambapo washtakiwa walikuwa na hatia na kutakiwa kujitetea ambapo walijitetea wenyewe. 

Washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka ya kujihusisha na biashara haramu ya Meno ya Tembo yenye thamani ya Sh 13 bilioni, kinyume cha sheria.

Inadaiwa, kati ya Januari Mosi, 2000 na Mei 22, 2014  washtakiwa walifanya biashara ya vipande 706 vya meno ya Tembo vyenye uzito wa kilogramu 1889, vyenye thamani ya sh. bilioni 5.4 bila ya kuwa na leseni iliyotolewa na Mkurugenzi wa Wanyama Pori.


Hivyo makala HATMA YA ANAYEDAIWA KUWA MALKIA WA MENO YA TEMBO NA WENZAKE KUJULIKANA FEBRUARI 15 MWAKA HUU

yaani makala yote HATMA YA ANAYEDAIWA KUWA MALKIA WA MENO YA TEMBO NA WENZAKE KUJULIKANA FEBRUARI 15 MWAKA HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HATMA YA ANAYEDAIWA KUWA MALKIA WA MENO YA TEMBO NA WENZAKE KUJULIKANA FEBRUARI 15 MWAKA HUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/hatma-ya-anayedaiwa-kuwa-malkia-wa-meno.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HATMA YA ANAYEDAIWA KUWA MALKIA WA MENO YA TEMBO NA WENZAKE KUJULIKANA FEBRUARI 15 MWAKA HUU"

Post a Comment