DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAREHEMU ALHAJI SHEHU SHAGARI UBALOZI WA NIGERIA JIJINI DAR ES SALAAM

DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAREHEMU ALHAJI SHEHU SHAGARI UBALOZI WA NIGERIA JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAREHEMU ALHAJI SHEHU SHAGARI UBALOZI WA NIGERIA JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAREHEMU ALHAJI SHEHU SHAGARI UBALOZI WA NIGERIA JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAREHEMU ALHAJI SHEHU SHAGARI UBALOZI WA NIGERIA JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAREHEMU ALHAJI SHEHU SHAGARI UBALOZI WA NIGERIA JIJINI DAR ES SALAAM


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.) akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Nigeria hapa nchini kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa sita wa nchi hiyo Mhe. Alhaji Shehu Shagari kilichotokea tarehe 28 Desemba 2019. Dkt. Ndumbaro alipata fursa ya kufanya mazungumzo na Balozi wa Nigeria hapa nchini Mhe. Dkt.Sahabi Isa Gada. Tukio hilo limefanyika jijini Dar Es Salaam katika Ubalozi wa Nigeria hapa nchini.  
Balozi Gada akimwelezea jambo Dkt. Ndumbaro wakati wa mazungumzo.
Sehemy ya Maafisa wa Ubalozi wa Nigeria nchini wakisikiliza
Dkt. Ndumbaro akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Gada na maafisa wa Ubalozi huo.
Dkt. Ndumbaro akiagana na Balozi Dkt. Gada. 


Hivyo makala DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAREHEMU ALHAJI SHEHU SHAGARI UBALOZI WA NIGERIA JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAREHEMU ALHAJI SHEHU SHAGARI UBALOZI WA NIGERIA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAREHEMU ALHAJI SHEHU SHAGARI UBALOZI WA NIGERIA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/dkt-ndumbaro-asaini-kitabu-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAREHEMU ALHAJI SHEHU SHAGARI UBALOZI WA NIGERIA JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment