DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WAKANDARASI UTEKELEZAJI MIRADI WIZARA

DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WAKANDARASI UTEKELEZAJI MIRADI WIZARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WAKANDARASI UTEKELEZAJI MIRADI WIZARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WAKANDARASI UTEKELEZAJI MIRADI WIZARA
kiungo : DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WAKANDARASI UTEKELEZAJI MIRADI WIZARA

soma pia


DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WAKANDARASI UTEKELEZAJI MIRADI WIZARA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza watendaji wa Halmshauri zote nchini kutotumia wakandarasi katika kutekeleza  miradi inayohusu Wizara  bali kutumia mtindo wa 'Force Account' yani mafundi wa kawaida katika kutekeleza miradi hiyo.

Ametoa agizo hilo mkoani Ruvuma wakati alipotembelea na  kujionea ukarabati na ujenzi katika Chuo cha Wauguzi Songea na Chuo cha Maendeleo ya Jamii Mlale katika ziara yake ya kikazi mkoani humo. Naibu Waziri huyo amefikia hatua hiyo baada ya kupokea taarifa ya kuanza kwa mchakato wa ujenzi wa baadhi ya madarasa na ukuta wa Chuo cha Waganga mkoani humo ambao ungegharimu zaidi ya Shillingi 900 ambazo fedha hizo zingetumia mtindo wa 'Force Account' zingejenga zaidi madarasa hayo na ukuta.

Dkt. Ndugulile ameongeza kuwa katika zama hizi za Serikali ya Awamu ya Tano itazingatia na kufuatilia matumizi sahihi ya fedha za miradi ya Maendeleo na yeye kama Naibu Waziri ataisimamia kwa karibu Miradi hiyo. Amesisitiza kuwa ujenzi wote wa miradi utakaohusu Idara Kuu Maendeleo ya Jamii utazingatia utaratibu wa 'Force Account' na kibali cha wakandarasi kitatolewa na Mawaziri pekee na sio vinginevyo.
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na baadhi ya wakufunzi, wafanyakazi na wananfunzi wa  Chuo cha Maendeleo ya Jamii Mlale mkoani Ruvuma wakati wa  ziara yake chuoni hapo kujionea Ujenzi na Ukaratabi wa miundombinu mbalimbali.
 Baadhi ya ya wakufunzi, wafanyakazi na wananfunzi wa wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Mlale wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (hayupo pichani) wakati wa  ziara ya Naibu waziri huyo chuoni hapo kujionea Ujenzi na Ukaratabi wa miundombinu mbalimbali.

 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (katikati) akikagua mradi wa ujenzi wa chumba cha pampu ya maji katika Chuo cha maendeleo ya Jamii Mlale unaogharinu Shillingi Millioni 3 unaosimamiwa na Chuo cha Maendeleo ya Jamii na Ufundi Misungwi katika ziara yake mkoani Ruvuma kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololeti Mgema na Kushoto ni Mkuu wa chuo cha Maendeleo ya Jamii Mlale Luciana Mvula
  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (katikati) akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Mlale mkoani Ruvuma wakati wa  ziara yake chuoni hapo kujionea Ujenzi na Ukaratabi wa miundombinu mbalimbali  kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololeti Mgema na Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Mlale Luciana Mvula.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WAKANDARASI UTEKELEZAJI MIRADI WIZARA

yaani makala yote DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WAKANDARASI UTEKELEZAJI MIRADI WIZARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WAKANDARASI UTEKELEZAJI MIRADI WIZARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/dkt-ndugulile-apiga-marufuku-matumizi_7.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WAKANDARASI UTEKELEZAJI MIRADI WIZARA"

Post a Comment