title : WIMBO WA MWANZA WAWAPONZA DIAMOND NA RAYVAN WAFUNGIWA KWA MUDA USIOJULIKANA
kiungo : WIMBO WA MWANZA WAWAPONZA DIAMOND NA RAYVAN WAFUNGIWA KWA MUDA USIOJULIKANA
WIMBO WA MWANZA WAWAPONZA DIAMOND NA RAYVAN WAFUNGIWA KWA MUDA USIOJULIKANA
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limetangaza kumfungia mwanamuziki Nasibu Abdul (Diamond Platnumz) na Raymond Mwakyusa (Rayvan) kutokana na kitendo chake cha kupuuzia.
Basata imesema Diamond na Rayvan wamepuuzia na kuendelea kuutumia wimbo wa “Mwanza” maarufu kama Nyegezi katika shoo zake za Wasafi Festival na kuonesha dharau na utovu wa nidhamu kwa mamlaka zinazosimamia masuala ya sanaa nchini na uvunjifu wa maadili uliokithiri.
Katika barua iliyotolewa leo mapema, Basata wameeleza pia kuwa wamewafungia wasanii hao kutokufanya shoo ndani na nje ya nchi kwa kipindi kisichojulikana kuanzia Desemba 18 2018.
Pamoja na hayo Basata wamefuta kibali cha Tamasha la Wasafi Festival kutokana na ukiukwaji wa Sheria, Kanuni na Utaratibu katika uendeshaji wa tamasha hilo hapa nchini.
Hivyo makala WIMBO WA MWANZA WAWAPONZA DIAMOND NA RAYVAN WAFUNGIWA KWA MUDA USIOJULIKANA
yaani makala yote WIMBO WA MWANZA WAWAPONZA DIAMOND NA RAYVAN WAFUNGIWA KWA MUDA USIOJULIKANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIMBO WA MWANZA WAWAPONZA DIAMOND NA RAYVAN WAFUNGIWA KWA MUDA USIOJULIKANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/wimbo-wa-mwanza-wawaponza-diamond-na.html
0 Response to "WIMBO WA MWANZA WAWAPONZA DIAMOND NA RAYVAN WAFUNGIWA KWA MUDA USIOJULIKANA"
Post a Comment