title : JESHI LA MAGEREZA LAFANYA MAADALIZI YA UZINDUZI WA DAWATI LA JINSIA LEO JIJINI DAR
kiungo : JESHI LA MAGEREZA LAFANYA MAADALIZI YA UZINDUZI WA DAWATI LA JINSIA LEO JIJINI DAR
JESHI LA MAGEREZA LAFANYA MAADALIZI YA UZINDUZI WA DAWATI LA JINSIA LEO JIJINI DAR
Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike akitoa hotuba katika ufunguzi wa mafunzo ya siku moja kuhusu mambo ya Dawati la Jinsia kwa Waratibu na Watendaji wa Dawati hilo kutoka Magereza yote nchini leo Desemba 06, 2018 ikiwa ni maandalizi ya uzinduzi wa Dawati la Jinsia ndani ya Jeshi la Magereza utakaofanyika Desemba 07, 2018 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu wa Chama cha Wanasheria Wanawake (TAWLA) Bi. Tike Mwambipile akichangia mada katika mafunzo kuhusu mambo ya Dawati la Jinsia kwa Waratibu na Watendaji wa Dawati hilo wa Magereza yote nchini yaliyofanyika leo Desemba 06, 2018 katika Bwalo Kuu la Magereza ikiwa ni maandalizi ya uzinduzi wa Dawati la Jinsia ndani ya Jeshi la Magereza utakaofanyika Desemba 07, 2018 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo kuhusu mambo ya Dawati la Jinsia kwa Waratibu na Watendaji wa Dawati hilo kutoka Magereza yote nchini yanayofanyika katika Bwalo Kuu la Magereza Ukonga, Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya uzinduzi wa Dawati la Jinsia ndani ya Jeshi hilo. Uzinduzi huo utafanyika Desemba 07, 2018 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Mtoa Mada kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Mapunda John ambaye ni Afisa Maendeleo ya Jamii akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya jinsia kwa Waratibu na Watendaji wa Dawati la Jinsia kutoka Magereza yote nchini yaliyofanyika leo Desemba 06, 2018 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Magereza Ukonga, Dar es Salaam.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>
Hivyo makala JESHI LA MAGEREZA LAFANYA MAADALIZI YA UZINDUZI WA DAWATI LA JINSIA LEO JIJINI DAR
yaani makala yote JESHI LA MAGEREZA LAFANYA MAADALIZI YA UZINDUZI WA DAWATI LA JINSIA LEO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA MAGEREZA LAFANYA MAADALIZI YA UZINDUZI WA DAWATI LA JINSIA LEO JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/jeshi-la-magereza-lafanya-maadalizi-ya.html
0 Response to "JESHI LA MAGEREZA LAFANYA MAADALIZI YA UZINDUZI WA DAWATI LA JINSIA LEO JIJINI DAR"
Post a Comment