WANANCHI WAASWA KUITUMIA OFISI YA URATIBU WA SHUGHULI ZA SMZ

WANANCHI WAASWA KUITUMIA OFISI YA URATIBU WA SHUGHULI ZA SMZ - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI WAASWA KUITUMIA OFISI YA URATIBU WA SHUGHULI ZA SMZ, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI WAASWA KUITUMIA OFISI YA URATIBU WA SHUGHULI ZA SMZ
kiungo : WANANCHI WAASWA KUITUMIA OFISI YA URATIBU WA SHUGHULI ZA SMZ

soma pia


WANANCHI WAASWA KUITUMIA OFISI YA URATIBU WA SHUGHULI ZA SMZ

Wakati umefika kwa Watanzania wote kuitumia Ofisi ya Uratibu wa shughuli za SMZ Dar es salaam ili kupata maelekezo na Ushauri utakaowawezesha kupata huduma mbali mbali zinazotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika ngazi na Sekta zote.

Uamuzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wa kuanzisha Ofisi hiyo muhimu Mwaka 2013 kuratibu wa Shughuli za Serikali umelenga kuwaondoshea usumbufu Wananchi wanaoishi upande wa Tanzania Bara pamoja na Taasisi za Kimataifa zinazohitaji huduma za Serikali.

Mratibu Mkuu wa Ofisi ya Uratibu wa shughuli za SMZ Dar es salaam Ndugu Issa Mlingoti Ali alitoa kauli hiyo katika Kipindi Maalum cha matayarisho ya maandalizi ya sherehe za kutimia Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Mwaka 1964 hapo Ofisini kwake Mjini Dar es salaam.

Ndugu Mlingoti alisema huduma za Ofisi hiyo kwa kiasi kikubwa hivi sasa zinatumiwa zaidi na Viongozi Wakuu na wale Waandamizi jambo ambalo bado halijakidhi azma ya kuanzishwa kwake licha ya kwamba yapo mambo mengi na ya msingi yanayoweza kuratibiwa ambayo yanamuhusu pia Mwananchi wa kawaida.

Alisema Ofisi hiyo kupitia Maafisa wake wa Sekta Tofauti ina mamlaka ya kusikiliza na kuyachukulia hatua matatizo yanayowakumba Wananchi sambamba na kuwa kiunganishi cha mawasiliano ya ushirikiano baina ya Taasisi za SMS na zile za Tanzania Bara pamoja na za Kimataifa katika Sekta tofauti.
Mratibu Mkuu wa Uratibu wa Shughuli za SMZ Dar es salaam Nd. Issa Mlingoti Ali Kushoto akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa huku Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifurahia wakati walipofika Nyumbani kwake Dar es salaam kutambulishwa Rasmi baada ya kuteuliwa kuwa Mratibu Mkuu.
Mratibu Mkuu wa Uratibu wa Shughuli za SMZ Dar es salaam Nd. Issa Mlingoti Ali akisalimiana na baadhi ya Mabalozi wa Nchi za Nje waliopo Tanzania wakati akiwa katika ziara za kuimarisha ushirikiano kati ya Ofisi hizo za Kidiplomasia na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na – OMPR – ZNZ.



Hivyo makala WANANCHI WAASWA KUITUMIA OFISI YA URATIBU WA SHUGHULI ZA SMZ

yaani makala yote WANANCHI WAASWA KUITUMIA OFISI YA URATIBU WA SHUGHULI ZA SMZ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WAASWA KUITUMIA OFISI YA URATIBU WA SHUGHULI ZA SMZ mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/wananchi-waaswa-kuitumia-ofisi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WANANCHI WAASWA KUITUMIA OFISI YA URATIBU WA SHUGHULI ZA SMZ"

Post a Comment