title : VODACOM TANZANIA WASHEREHEKEA KUUAGA MWAKA 2018
kiungo : VODACOM TANZANIA WASHEREHEKEA KUUAGA MWAKA 2018
VODACOM TANZANIA WASHEREHEKEA KUUAGA MWAKA 2018
Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, wakisakata muziki wakati wa sherehe ya kuuaga mwaka 2018 iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano, Rosalynn Mworia, (Kushoto) akimsikiliza Goodluck Mushi, wakati akishukuru kwa kutunukiwa tuzo ya mfanyakazi bora wakati wa sherehe ya kuuaga mwaka 2018 iliyofanyika Mlimani City Jijijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi (kushoto) akimpongeza Christina Murimi, mara baada ya kukabidhiwa TUZO ya mfanyakazi bora, wakati wa sherehe ya kuuaga mwaka 2018 iliyofanyika Mlimani City Jijijini Dar es Salaam.
Hivyo makala VODACOM TANZANIA WASHEREHEKEA KUUAGA MWAKA 2018
yaani makala yote VODACOM TANZANIA WASHEREHEKEA KUUAGA MWAKA 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM TANZANIA WASHEREHEKEA KUUAGA MWAKA 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/vodacom-tanzania-washerehekea-kuuaga.html
0 Response to "VODACOM TANZANIA WASHEREHEKEA KUUAGA MWAKA 2018"
Post a Comment