UONGOZI WA SOFAPAKA YA KENYA YATOA ONYO JAGWANI.

UONGOZI WA SOFAPAKA YA KENYA YATOA ONYO JAGWANI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UONGOZI WA SOFAPAKA YA KENYA YATOA ONYO JAGWANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UONGOZI WA SOFAPAKA YA KENYA YATOA ONYO JAGWANI.
kiungo : UONGOZI WA SOFAPAKA YA KENYA YATOA ONYO JAGWANI.

soma pia


UONGOZI WA SOFAPAKA YA KENYA YATOA ONYO JAGWANI.

KASUMBA (KULIA)
Uongozi wa Sofapaka ya Kenya umesema umepata taarifa kwamba Yanga wanataka kumtwaa mshambuliaji wao, Umar Kasumba.

Mmoja wa viongozi wa Sofapaka ambaye amesema si msemaji wa klabu, amesisitiza, lolote sawa lakini tararibu zifuatwe.

“Naweza kukuambia wewe kwa kuwa ni rafiki yangu, kwanza si sawa kuona inazungumzwa mchezaji wako anatakiwa na wewe hujui lolote.

“Lakini sawa, kama wanamhitaji waje, tuwaeleze ofa yetu. Maana tumeelezwa huko Tanzania mnaandika tu kwamba anakuja kwenu huko Yanga,” alisema.

Hata hivyo, Yanga haijatamka zaidi ya kuwepo kwa fununu zinazoambatana na madalali wanaotaka kumleta mchezaji huyo nchini kuendelea kupiga debe.

Imeelezwa Kasumba ni mmoja wa wachezaji wazuri lakini wanaocheza kwa kufanana kabisa na Herietier Makambo.

Yanga imekuwa ikiendelea kutaka kujiimarisha katika ushambulizi wakati ikiendelea kuongoza ligi.


Hivyo makala UONGOZI WA SOFAPAKA YA KENYA YATOA ONYO JAGWANI.

yaani makala yote UONGOZI WA SOFAPAKA YA KENYA YATOA ONYO JAGWANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UONGOZI WA SOFAPAKA YA KENYA YATOA ONYO JAGWANI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/uongozi-wa-sofapaka-ya-kenya-yatoa-onyo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UONGOZI WA SOFAPAKA YA KENYA YATOA ONYO JAGWANI."

Post a Comment