title : RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALHAJI ALI HASSAN MWINYI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALHAJI ALI HASSAN MWINYI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALHAJI ALI HASSAN MWINYI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali Jijini Dar es Salaam.Disemba 5, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi, Bi. Sitti Mwinyi (Mke wa Mzee Mwinyi) pamoja na Abdallah Mwinyi (Mtoto wa Mzee Mwinyi) alipomtembelea kumjulia hali Jijini Dar es Salaam.Disemba 5, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali Jijini Dar es Salaam.Disemba 5, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bi Sitti Mwinyi Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali Rais Mstaafu Jijini Dar es Salaam.Disemba 5, 2018.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALHAJI ALI HASSAN MWINYI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALHAJI ALI HASSAN MWINYI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALHAJI ALI HASSAN MWINYI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/rais-dkt-magufuli-amjulia-hali-rais.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALHAJI ALI HASSAN MWINYI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment