title : MOHAMED ISSA 'BANKA' ARUHUSIWA KUANZA MAZOEZI BINAFSI
kiungo : MOHAMED ISSA 'BANKA' ARUHUSIWA KUANZA MAZOEZI BINAFSI
MOHAMED ISSA 'BANKA' ARUHUSIWA KUANZA MAZOEZI BINAFSI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Mchezaji Mohamed Issa 'Banka' ameruhusiwa kuanza mazoezi wakati akikaribia mwisho wa adhabu yake ya kufungiwa baada ya kubainika kutumia dawa zisizoruhusiwa michezoni aina ya bangi.
Banka baada kubainika kutumia dawa hizo alifungiwa kwa kipindi cha miezi 14 kuanzia Disemba 9,2017 na adhabu kumalizika Februari 8,2019.
Pamoja na kuruhusiwa kuanza mazoezi Banka kucheza mchezo wowote ule zaidi ya kufanya mazoezi. Mchezaji huyo alifungiwa na Kamati ya kuzuia na kupambana na dawa zisizoruhusiwa michezoni ya Kanda ya Tano Africa (RADO).
Banka alisajiliwa na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili katika dirisha la usajili la mwezi June akitokea timu ya Mtibwa Sugar lakini hakuweza kushiriki kwenye mchezo wowote kutokana na kufungiwa kutokushiriki masuala ya kimichezo ikiwemo kufanya mazoezi sehemu atakayoonekana na watu.Adhabu yake inatarajiwa kumalizika mwezi Februari mwakani na matarajio yake ni kujiunga na timu yake mpya.
Hivyo makala MOHAMED ISSA 'BANKA' ARUHUSIWA KUANZA MAZOEZI BINAFSI
yaani makala yote MOHAMED ISSA 'BANKA' ARUHUSIWA KUANZA MAZOEZI BINAFSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MOHAMED ISSA 'BANKA' ARUHUSIWA KUANZA MAZOEZI BINAFSI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mohamed-issa-banka-aruhusiwa-kuanza.html
0 Response to "MOHAMED ISSA 'BANKA' ARUHUSIWA KUANZA MAZOEZI BINAFSI"
Post a Comment