Kamati ya soka la Ufukweni Zanzibar kuandaa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki

Kamati ya soka la Ufukweni Zanzibar kuandaa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kamati ya soka la Ufukweni Zanzibar kuandaa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kamati ya soka la Ufukweni Zanzibar kuandaa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki
kiungo : Kamati ya soka la Ufukweni Zanzibar kuandaa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki

soma pia


Kamati ya soka la Ufukweni Zanzibar kuandaa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki



Na: Abubakar Khatib “Kisandu”, Zanzibar.

Kamati ya soka la ufukweni visiwani Zanzibar imevialika vilabu vitatu kutoka Uganda kwaajili ya kucheza Mashindano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki ya Beach Soka Mashindano ambayo yanatarajia kuanza rasmi 4/9/2017 katika Fukwe za Bububu Bambuu Visiwani hapa.

Akizungumza na Mtandao huu Rais wa Beach Soka Visiwani Zanzibar Ali Sharifu “Adolf” amesema kwa vile Afrika Mashariki nzima nchi zenye ligi kuu ya Beach soka ni wao Zanzibar na Uganda tu ambapo nchini nyengine hawana ligi hiyo ndio mana wakavialika vilabu vya Uganda vitatu na vya Zanzibar vitatu kisha watacheza Mashindano hayo.

“Unajua kwa Afrika Mashariki nzima Zanzibar na Uganda pekeyetu ndo tunaocheza ligi kuu ya Beach soka, nchi nyengine hawana ligi kuu labda mabonanza tu na timu zao za Taifa, lakini nchi mbili hizi ndo zinazocheza ndo mana tumevialika vilabu vya Uganda kucheza na Zanzibar kwaajili ya kumtafuta Bingwa wa Beach Soka Afrika Mashariki nzima”. Alisema Adolf.


 Timu 6 zitakazoshiriki katika Mashindano hayo ni Malindi, Green River na Lavister kutoka Zanzibar na kutoka Uganda ni Makerere University, Mutesa 1 Royal University na St. Laurence University.


Hivyo makala Kamati ya soka la Ufukweni Zanzibar kuandaa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki

yaani makala yote Kamati ya soka la Ufukweni Zanzibar kuandaa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kamati ya soka la Ufukweni Zanzibar kuandaa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/kamati-ya-soka-la-ufukweni-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kamati ya soka la Ufukweni Zanzibar kuandaa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki"

Post a Comment