title : Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO Akabidhi Vyeti kwa Wahitimu 345 wa Fani ya Uandishi wa Habari Chuo cha Uandishi wa habari DJS
kiungo : Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO Akabidhi Vyeti kwa Wahitimu 345 wa Fani ya Uandishi wa Habari Chuo cha Uandishi wa habari DJS
Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO Akabidhi Vyeti kwa Wahitimu 345 wa Fani ya Uandishi wa Habari Chuo cha Uandishi wa habari DJS
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akikabidhi cheti kwa wahitimu waliofanya vizuri katika vitengo mbalimbali kutoka Chuo cha Uandishi wa Habari (Dar es Salaam School of Journalism) ,DSJ katika mahafli ya 23 ya chuo hicho iliyofanyika leo 20 Desemba, 2018 katika ukumbi wa chuo hicho kilichopo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi( watatu kushoto aliyeshika maiki) akiwatunuku vyeti vya kumaliza Stashahada na Astashahada ya Uandishi wa Habari wanafunzi kutoka Chuo cha Uandishi wa Habari (Dar es Salaam School of Journalism) DSJ, mahafali ilifanyika leo chuoni hapo
Wahitimu wa Stashahada na Astashahada ya Uandishi wa Habari kutoka Chuo cha Uandishi DSJ wakivaa Kofia zao mara baada ya kutunukiwa vyeti vyao katika mahafali iliyofanyika leo chuoni hapo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari- MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea na wanafunzi wahitimu wa stashahada na Astashahada katika fani ya Uadishi wa Habari( hawapo pichani) katika mahafari ya 23 ya Chuo cha Uandishi wa Habari (Dar es Salaam School of Journalism ) DSJ iliyofanyika leo katika ukumbi wa chuo hicho kilichopo Jijini Dar es Salaam, wa pili kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Joachim Rupepo na kushoto ni Rais wa Serikali ya wanafunzi katika chuo hicho Ester Zalamula na Mwalimu kutoka chuo hicho.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea na wanafunzi na wazazi katika mahafali ya 23 ya kutunuku stashahada na Asatashaha katika fani ya Uadishi wa Habari DSJ iliyofanyika leo katika ukumbi wa chuo hicho kilichopo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Uongozi wa Chuo cha Uandishi wa Habari (Dar es Salaam School of Journalism) DSJ pamoja na Walimu wa chuo hicho mara baada ya kwatunuku vyeti wahitimu 345 wa Stashahada na Astashahada ya Uandishi wa Habari katika mahafali iliyofanyika leo chuoni hapo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiwaaga wahitimu na Wazazi mara baada ya kutunuku veyti kwa 345 wa Stashahada na Astashahada ya Uandishi wa Habari katika mahafali iliyofanyika leo Desemba 20, 2018, chuoni hapo wapili kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Joachim Rupepo.Picha na Idara ya Habari-MAELEZO
Hivyo makala Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO Akabidhi Vyeti kwa Wahitimu 345 wa Fani ya Uandishi wa Habari Chuo cha Uandishi wa habari DJS
yaani makala yote Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO Akabidhi Vyeti kwa Wahitimu 345 wa Fani ya Uandishi wa Habari Chuo cha Uandishi wa habari DJS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO Akabidhi Vyeti kwa Wahitimu 345 wa Fani ya Uandishi wa Habari Chuo cha Uandishi wa habari DJS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mkurugenzi-idara-ya-habari-maelezo.html
0 Response to "Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO Akabidhi Vyeti kwa Wahitimu 345 wa Fani ya Uandishi wa Habari Chuo cha Uandishi wa habari DJS"
Post a Comment