HII HAPA DROO YA MICHUANO YA VIJANA UNDER 20

HII HAPA DROO YA MICHUANO YA VIJANA UNDER 20 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HII HAPA DROO YA MICHUANO YA VIJANA UNDER 20, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HII HAPA DROO YA MICHUANO YA VIJANA UNDER 20
kiungo : HII HAPA DROO YA MICHUANO YA VIJANA UNDER 20

soma pia


HII HAPA DROO YA MICHUANO YA VIJANA UNDER 20


MWAMBA WA HABARI.
NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo imechezesha droo  michuano ya Uhai Cup inayoshirikisha timu za vijana zenye umri chini ya miaka 20.

Timu hizo za vijana ni zile zinazotokana na klabu I6 zinazoshiriki ligi kuu Tanzania Bara.

Michuano hiyo inatarajia kuanza kutimua vumbi Juni 9 hadi  2I mwaka huu mkoani Dodoma na katika droo hiyo kumepatikana  makundi manne ambapo kila kundi kuna na timu nne.

Kupitia droo hiyo katika kundi A kutakuwa na klabu ya Yanga, Ruvu Shooting, Mbeya City pamoja na Mbao Fc.

Kundi B ni Simba, Singida Utd, Stend Utd na Njombe Mji na Kundi C ni Azam fc, Mtigwa Sugar, Mwadui fc pamoja na Majimaji fc.

kundi D ni Tanzania Prison, Lipuli fc, Kagera Sugar pamoja na Ndanda kutoka mkoani Mtwara.


Hivyo makala HII HAPA DROO YA MICHUANO YA VIJANA UNDER 20

yaani makala yote HII HAPA DROO YA MICHUANO YA VIJANA UNDER 20 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HII HAPA DROO YA MICHUANO YA VIJANA UNDER 20 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/hii-hapa-droo-ya-michuano-ya-vijana.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HII HAPA DROO YA MICHUANO YA VIJANA UNDER 20"

Post a Comment