MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA AKUTANA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA PWANI

MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA AKUTANA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA PWANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA AKUTANA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA PWANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA AKUTANA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA PWANI
kiungo : MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA AKUTANA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA PWANI

soma pia


MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA AKUTANA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA PWANI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge  wa Jimbo la Kibaha mjini Mhe. Silvestry Francis Koka pamoja na Viongozi wengine wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Pwani mara baada ya kuwasili kwenye hafla fupi ya utambulisho kama Mlezi wa Chama hicho mkoa wa Pwani. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Kibaha mjini Bi. Azilongwa Bohari pamoja na Viongozi wengine wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Pwani mara baada ya kuwasili kwenye hafla fupi ya utambulisho kama Mlezi wa Chama hicho mkoa wa Pwani. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Ndugu Ramadhani Maneno (kulia) akimtambulisha Mlezi wa CCM mkoa huo Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Pwani, kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Mhandisi Evarist Ndikilo.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Taifa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wajumbe wa kamati ya Siasa ya Mkoa wa Pwani mara baada ya kujitambulisha rasmi kama Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Pwani, hafla hiyo imefanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya mji Kibaha.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Taifa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya Siasa ya Mkoa wa Pwani mara baada ya kujitambulisha rasmi kama Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Pwani, hafla hiyo imefanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya mji Kibaha.


Hivyo makala MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA AKUTANA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA PWANI

yaani makala yote MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA AKUTANA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA PWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA AKUTANA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA PWANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mjumbe-wa-kamati-kuu-ya-ccm-taifa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA AKUTANA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA PWANI"

Post a Comment