MAHAFALI YA MRADI WA MALEZI NA MAKUZI KWA WATOTO (PLAY LAB) YAFANA - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAFALI YA MRADI WA MALEZI NA MAKUZI KWA WATOTO (PLAY LAB) YAFANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MAHAFALI YA MRADI WA MALEZI NA MAKUZI KWA WATOTO (PLAY LAB) YAFANAkiungo :
MAHAFALI YA MRADI WA MALEZI NA MAKUZI KWA WATOTO (PLAY LAB) YAFANA
MAHAFALI YA MRADI WA MALEZI NA MAKUZI KWA WATOTO (PLAY LAB) YAFANA
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
MRADI wa malezi na makuzi kwa watoto (Play lab Program) wamefanya maadhimisho ya mahafali ya pili ya watoto kwa mwaka 2018 uliotekelezwa na Shirika la Brac Tanzania na jumla ya watoto 1200 wamefanikiwa kumaliza mafunzo hayo.
Mradi huo wa malezi na makuzi kwa watoto hujifunza kupitia elimu ya malezi kwa wazazi, ulinzi na usalama kwa watoto.
Akizungumza wakati wa mahafali hayo, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke John Bwana amesema elimu waliyoipata watoto hawa ni msingi mkubwa katika kuwaandaa na elimu ya awali na wenine shule ya Msingi ambapo imetia chachu katika kuwaimarisha watoto katika maendeleo ya kiakili , kimwili, kihisia na lugha.
John amesema, kupitia mradi huu wazazi wa watoto wamepewa mafunzo ya malezi kwa watoto wao kwani ni muhimu sana kwa sababu msingi wa ukuaji wa motto huanzishwa na mzazi mwenyewe.
Pia. Amesema wazazi wamekuwa mstari wa mbele katika kushiriki kazi mbalimbali za mradi kama utenenezaji wa vifaa vya asili kwa ajili ya watoto kutumia katika mafunzo yao na hii imesaidia katika kuwajenga watoto wetu kuwa na ujasiri , ukakamavu, kujiamini, kuchangamana na watoto wengine , kuwa na nidhamu bora na hata kuwa na msaada kwa wazazi wake.

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke John Bwana akitoa vyeti kwa watoto waliohitimu mafunzo ya malezi na makuzi (play lab) unaoratibiwa na Shirika la Brac Nchini wakati wa mahafali ya pili yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Mtathmini wa mradi wa malezi na makuzi (play lab) Lilian Josephat akitoa risali wakati wa maadhimisho ya mahafali ya pili ya watoto kwa mwaka 2018 uliotekelezwa na Shirika la Brac Tanzania na jumla ya watoto 1200 wamefanikiwa kumaliza mafunzo hayo.
Watoto wakiwa katika matukio tofauti.
Hivyo makala MAHAFALI YA MRADI WA MALEZI NA MAKUZI KWA WATOTO (PLAY LAB) YAFANA
yaani makala yote MAHAFALI YA MRADI WA MALEZI NA MAKUZI KWA WATOTO (PLAY LAB) YAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAHAFALI YA MRADI WA MALEZI NA MAKUZI KWA WATOTO (PLAY LAB) YAFANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mahafali-ya-mradi-wa-malezi-na-makuzi.html
Related Posts :
PUMA ENERGY YAENDELEZA UFADHILI WAKE MPANGO WA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI
Waziri wa Kazi, Ajira, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama akikata utepe kuashiria uzinduzi wa miundombinu ya usala… Read More...
BEKI WA AZAM FC KUELEKEA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABUNa Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
BEKI wa kati wa Azam FC, Daniel Amoah, anatarajia kwenda jijini Cape Town, Afrika Kusini kwa ajili ya mat… Read More...
SERIKALI: MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALIMAAFISA Habari na Mawasiliano katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kuacha kufungia katika makabati na makabrasha t… Read More...
WAZIRI MWAKYEMBE ASIKITISHWA NA KAULI ZILIZOTOLEWA NA MSANII DIAMOND
… Read More...
Kamati ya kitaifa ya UN na Serikali yakutana kupanga kazi za mradi wa KoicaKAMATI ya kitaifa inayoendesha mradi wa pamoja kati ya mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa (UNESCO, UN Women na UNFPA) na serikali ya Tanza… Read More...
0 Response to "MAHAFALI YA MRADI WA MALEZI NA MAKUZI KWA WATOTO (PLAY LAB) YAFANA"
Post a Comment