title : KUMBUKUMBU
kiungo : KUMBUKUMBU
KUMBUKUMBU
“Hata ingawa ninatembea katika bonde lenye kivuli kizito, Siogopi chochote kibaya,Kwa maana wewe uko pamoja nami; Fimbo yako na gongo lako ndivyo vitu vinavyonifariji.” (Zaburi 23:4)
LUTENI KANALI (MSTAAFU) WILLY JOHN MASOI
Miaka 4 imetimia leo tangu Mwenyezi Mungu alipokuita kwake. Hata hivyo kutokana na upendo wako kwetu tunaamini Baba yetu kipenzi unaendelea kutulinda, kutusimamia na kutuongoza katika kila tufanyalo. Baba, endelea kuimba na Malaika.
Unakumbukwa na mke wako kipenzi Mary-Salome, watoto, wakwe, wajukuu, shemeji, ndugu, jamaa, marafiki na majirani zako.
Raha ya Milele umpe, ee Bwana, na Mwanga wa Milele Uingazie Roho ya Marehemu Luteni Kanali (Mstaafu) Willy John Masoi. Apumzike kwa Amani, Amina. Zab: 23:4
Hivyo makala KUMBUKUMBU
yaani makala yote KUMBUKUMBU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/kumbukumbu.html
0 Response to "KUMBUKUMBU"
Post a Comment