KAULIMBIU YA HAPA KAZI TU KATIKA UTUMISHI WA UMMA ITEKELEZWE KWA VITENDO KUPITIA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI MZURI WA OPRAS

KAULIMBIU YA HAPA KAZI TU KATIKA UTUMISHI WA UMMA ITEKELEZWE KWA VITENDO KUPITIA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI MZURI WA OPRAS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAULIMBIU YA HAPA KAZI TU KATIKA UTUMISHI WA UMMA ITEKELEZWE KWA VITENDO KUPITIA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI MZURI WA OPRAS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAULIMBIU YA HAPA KAZI TU KATIKA UTUMISHI WA UMMA ITEKELEZWE KWA VITENDO KUPITIA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI MZURI WA OPRAS
kiungo : KAULIMBIU YA HAPA KAZI TU KATIKA UTUMISHI WA UMMA ITEKELEZWE KWA VITENDO KUPITIA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI MZURI WA OPRAS

soma pia


KAULIMBIU YA HAPA KAZI TU KATIKA UTUMISHI WA UMMA ITEKELEZWE KWA VITENDO KUPITIA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI MZURI WA OPRAS




Watendaji Wakuu katika Taasisi za Umma nchini wametakiwa kutekeleza kwa vitendo kauli mbiu ya HAPA KAZI TU ya Mhe. Rais, Dkt. John Pombe Magufuli, kwa kuhakikisha wanasimamia vizuri utekelezaji wa Mfumo wa  Wazi wa Mapitio na Tathmini ya Utendaji Kazi (OPRAS) wa mtumishi mmoja mmoja ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi kwa maslahi ya maendeleo ya taifa.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa alipoitembelea Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Serikalini ya Ofisi yake kwa lengo la kufahamu majukumu ya idara hiyo na kuhimiza uwajibikaji.

Mhe. Dkt. Mwanjelwa amesema, usimamizi na utekelezaji mzuri wa Mfumo wa  Wazi wa Mapitio na Tathmini ya Utendaji Kazi (OPRAS) utaondoa tatizo la ufanyaji kazi wa mazoea kwa baadhi ya watumishi wa umma nchini na kuongeza kuwa, utawezesha kufikia azma ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kujenga utamaduni wa kila mtumishi wa umma katika nafasi aliyonayo kufanya kazi kwa bidii, ufanisi na weledi ili utumishi wake uwe na tija katika maendeleo ya taifa.

Mhe. Dkt. Mwanjelwa amesisitiza kuwa, Serikali ya Awamu ya Tano inataka kuwa na OPRAS ambayo ni chachu ya kuimarisha utendaji kazi na uwajibikaji kwa kila mtumishi wa umma, hivyo ameitaka Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Serikalini ambayo ina majukumu la kutoa miongozo na kusimamia OPRAS, kuweka msingi imara wa usimamizi na utekelezaji wa OPRAS katika Taasisi za Umma.
 
 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza  na watumishi wa Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Serikalini wa Ofisi yake kuhusu utekelezaji wa Mfumo wa  Wazi wa Mapitio na Tathmini ya Utendaji Kazi (OPRAS) kwa watumishi wa umma, alipoitembelea Idara hiyo kwa lengo la kufahamu majukumu ya idara na kuhimiza uwajibikaji.
002
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akielezwa majukumu ya Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Serikalini na mkurugenzi wa Idara hiyo,  Bw. Hassan Kitenge, alipoitembelea Idara hiyo kwa lengo la kufahamu majukumu ya idara na kuhimiza uwajibikaji.
003
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akihimiza usimamizi mzuri wa Mfumo wa  Wazi wa Mapitio na Tathmini ya Utendaji Kazi (OPRAS)  kwa Mkurugenzi wa Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Serikalini, Bw. Hassan Kitenge, alipoitembelea Idara hiyo kwa lengo la kufahamu majukumu ya idara na kuhimiza uwajibikaji.



Hivyo makala KAULIMBIU YA HAPA KAZI TU KATIKA UTUMISHI WA UMMA ITEKELEZWE KWA VITENDO KUPITIA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI MZURI WA OPRAS

yaani makala yote KAULIMBIU YA HAPA KAZI TU KATIKA UTUMISHI WA UMMA ITEKELEZWE KWA VITENDO KUPITIA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI MZURI WA OPRAS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAULIMBIU YA HAPA KAZI TU KATIKA UTUMISHI WA UMMA ITEKELEZWE KWA VITENDO KUPITIA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI MZURI WA OPRAS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/kaulimbiu-ya-hapa-kazi-tu-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAULIMBIU YA HAPA KAZI TU KATIKA UTUMISHI WA UMMA ITEKELEZWE KWA VITENDO KUPITIA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI MZURI WA OPRAS"

Post a Comment