KAMPENI YA MKOA KWA MKOA 'RUDI NYUMBANI KUMENOGA' YAFUNIKA TEMEKE

KAMPENI YA MKOA KWA MKOA 'RUDI NYUMBANI KUMENOGA' YAFUNIKA TEMEKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPENI YA MKOA KWA MKOA 'RUDI NYUMBANI KUMENOGA' YAFUNIKA TEMEKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPENI YA MKOA KWA MKOA 'RUDI NYUMBANI KUMENOGA' YAFUNIKA TEMEKE
kiungo : KAMPENI YA MKOA KWA MKOA 'RUDI NYUMBANI KUMENOGA' YAFUNIKA TEMEKE

soma pia


KAMPENI YA MKOA KWA MKOA 'RUDI NYUMBANI KUMENOGA' YAFUNIKA TEMEKE


Mkuu wa Wilaya Temeke Felix Lyaniva (katikati) akionesha bango kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga katika wilaya hiyo usiku huu. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Kindamba pamoja na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL Corporation, Bw. Ally Mbega wakishiriki. Kampeni hiyo inaendeshwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL Corporation.
Mkuu wa Wilaya Temeke Felix Lyaniva (katikati) akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi rasmi wa kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga katika wilaya hiyo viwanja vya Zakheim.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Kindamba akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi rasmi wa kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga katika wilaya hiyo viwanja vya Zakheim.
Chege Chigunda akifunga kazi kwa mashabiki wake katika fainali za burudani na kampeni Wilaya ya Temeke.
Msanii Shilole aka Shishi Baby akitikisha kwenye uzinduzi rasmi wa kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga wilayani Temeke.
Umati wa wananchi ukifuatilia burudani katika uzinduzi wa kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga wilaya ya Temeke.
Msanii Man Fongo jukwaani akiwaburudisha wapenzi wa miondoko ya Singeli katika kampeni hizo zilizomalizika kwenye Uwanja wa Zakhein. 


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala KAMPENI YA MKOA KWA MKOA 'RUDI NYUMBANI KUMENOGA' YAFUNIKA TEMEKE

yaani makala yote KAMPENI YA MKOA KWA MKOA 'RUDI NYUMBANI KUMENOGA' YAFUNIKA TEMEKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPENI YA MKOA KWA MKOA 'RUDI NYUMBANI KUMENOGA' YAFUNIKA TEMEKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/kampeni-ya-mkoa-kwa-mkoa-rudi-nyumbani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPENI YA MKOA KWA MKOA 'RUDI NYUMBANI KUMENOGA' YAFUNIKA TEMEKE"

Post a Comment