Mchango wa Asasi za Kiraia kwenye Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi

Mchango wa Asasi za Kiraia kwenye Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mchango wa Asasi za Kiraia kwenye Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mchango wa Asasi za Kiraia kwenye Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi
kiungo : Mchango wa Asasi za Kiraia kwenye Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi

soma pia


Mchango wa Asasi za Kiraia kwenye Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi

                    Mkurugenzi wa Taasisi ya Demokrasia na Utawala Bora Vijijini ADLG iliyopo Jijini Mwanza, Jimmy Luhende akichangia mada kwenye Mkutano wa Sekta ya Uziduaji 2017 uliofanyika Mjini Dodoma.

Novemba 02-03, 2017 ulifanyika Mkutano wa Sekta ya Uziduaji (Madini, Mafuta na Gesi) Mjini Dodoma ambapo miongoni mwa maazimio kwenye mkutano huo ni Asasi za Kiraia kushiriki ipasavyo katika kuhakikisha Taifa linanufaika na Rasilimali zake.

Ungana na BMG kujua yaliyojiri kwenye mkutano huo ulioandaliwa na muungano wa Asasi za Kiraia zinazoangazia masuala ya Utawala Bora kwenye sekta ya Uziduaji nchini HakiRasilimali. Tazama HAPA ufunguzi wa mkutano huo. Tazama HAPA hafla ya usiku baada ya mkutano huo. Mwanasheria Veronica Zano (kushoto) kutoka Zimbabwe akichangia mada kwenye mkutano huo. Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Demokrasia na Utawala Bora Vijijini ADLG iliyopo Jijini Mwanza.


Hivyo makala Mchango wa Asasi za Kiraia kwenye Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi

yaani makala yote Mchango wa Asasi za Kiraia kwenye Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mchango wa Asasi za Kiraia kwenye Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mchango-wa-asasi-za-kiraia-kwenye.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mchango wa Asasi za Kiraia kwenye Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi"

Post a Comment