Jumia yazindua BOOM BAMIZA, yakabidhi pikipiki na luninga kwa wateja

Jumia yazindua BOOM BAMIZA, yakabidhi pikipiki na luninga kwa wateja - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jumia yazindua BOOM BAMIZA, yakabidhi pikipiki na luninga kwa wateja, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jumia yazindua BOOM BAMIZA, yakabidhi pikipiki na luninga kwa wateja
kiungo : Jumia yazindua BOOM BAMIZA, yakabidhi pikipiki na luninga kwa wateja

soma pia


Jumia yazindua BOOM BAMIZA, yakabidhi pikipiki na luninga kwa wateja

Jumia imewakabidhi wakazi wa jijini Dar es Salaam, Bw. Johnson Kiama na Dismas Kamalamo zawadi za pikipiki na luninga mpya ya kisasa walizojishindia kupitia shindano la ‘Treasure Hunt.’

Shindano hilo lilikuwa likifanyika kila siku ya Ijumaa kupitia kampeni kubwa ya mauzo ya mwaka ya Jumia inayokwenda kwa Black Friday. Kampeni hiyo ambayo ilianza Novemba 16 na kufikia ukomo Ijumaa iliyopita ya Desemba 7, imewawezesha wateja kufanya manunuzi yao ya msimu huu wa sikukuu kwa ofa na punguzo kubwa la bei mpaka 70%!

Zawadi zote mbili za pikipiki na luninga zilifichwa kwenye mtandao wa Jumia ambapo wateja walitakiwa kuzisaka na kukabidhiwa kwa punguzo la asilimia 99 mara baada ya kuzipata. Zoezi hilo lilifanyika kupitia njia ya App ya Jumia inayopatikana kwenye simu zote za iPhone (Apple Store) na Android (Google Play Store). Dhumuni lilikuwa ni kuwawezesha wateja wengi zaidi, ambao wanamiliki simu za kisasa za mkononi, kushiriki mahali popote na muda wowote walipo.

Pikipiki hiyo aliyokabidhiwa mshindi, aina ya Skymark, inauzwa kwa shilingi 1,850,000 katika mtandao wa Jumia. Lakini mshindi amekabidhiwa kwa kulipia shilingi 18,500 tu ambayo ni sawa na punguzo la asilimia 99!Huku naye mshindi wa luninga mpya na ya kisasa aina ya Bruhm yenye ukubwa wa inchi 32 yenyewe inauzwa kwa shilingi 570,000 kwenye mtandao wa Jumia. Lakini mshindi amekabidhiwa kwa kulipia shilingi 5,700 tu ambayo ni sawa na punguzo la asilimia 99!

Akielezea namna atakavyoitumia zawadi yake ya pikipiki mara baada ya kukabidhiwa, Bw. Johnson Kiama, amesema kuwa, “siamini kama leo hii nimekabidhiwa hii pikipiki maana ilinichukua muda mrefu kuipata. 
  Meneja Mahusiano ya Umma wa Jumia Tanzania, Kijanga Geofrey akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari jijini Dar leo wakati wakikabidhi  wakazi wawili wa jijini Dar es Salaam, Bw. Johnson Kiama na Dismas Kamalamo zawadi za pikipiki na luninga mpya ya kisasa walizojishindia kupitia shindano la ‘Treasure Hunt.’
 Meneja Mahusiano ya Umma wa Jumia Tanzania, Kijanga Geofrey akimkabidhi  mbele ya Waandishi wa habari,Bw. Johnson Kiama luninga mpya ya kisasa aliyojishindia kupitia shindano la ‘Treasure Hunt.’
Meneja Mahusiano ya Umma wa Jumia Tanzania, Kijanga Geofrey akimkabidhi  ufunguo wa piki piki Dismas Kamalamo mbele ya Waandishi wa habari, aliyojishindia kupitia shindano la ‘Treasure Hunt.’



Hivyo makala Jumia yazindua BOOM BAMIZA, yakabidhi pikipiki na luninga kwa wateja

yaani makala yote Jumia yazindua BOOM BAMIZA, yakabidhi pikipiki na luninga kwa wateja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jumia yazindua BOOM BAMIZA, yakabidhi pikipiki na luninga kwa wateja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/jumia-yazindua-boom-bamiza-yakabidhi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jumia yazindua BOOM BAMIZA, yakabidhi pikipiki na luninga kwa wateja"

Post a Comment