title : RAIS DK. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KILIMO KIZIMBANI LEO
kiungo : RAIS DK. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KILIMO KIZIMBANI LEO
RAIS DK. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KILIMO KIZIMBANI LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kufungua Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani leo katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa hutuba yake kwa Wananchi mbali mbali na Viongozi waliohudhuria katika maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja alipoyafungua leo
Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[
Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mwanamwema Shein (katikati) akiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kulia) pamoja na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani yaliyofunguliwa leo katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Baadhi ya Vijana waliovalia sare na Wananchi wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wanafunzi wa Skuli ya Dole wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala RAIS DK. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KILIMO KIZIMBANI LEO
yaani makala yote RAIS DK. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KILIMO KIZIMBANI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KILIMO KIZIMBANI LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-dk-shein-afungua-maonesho-ya.html
0 Response to "RAIS DK. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KILIMO KIZIMBANI LEO"
Post a Comment