title : IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NBC
kiungo : IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NBC
IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NBC
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi, wakati alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo 05/12/2018, kwa lengo la kuendelea kujenga ushirikiano baina ya benki hiyo na Jeshi la Polisi. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi, pamoja na watendaji wengine wa benki hiyo wakati walipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo 05/12/2018, kwa lengo la kuendelea kujenga ushirikiano baina ya benki hiyo na Jeshi la Polisi. Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NBC
yaani makala yote IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NBC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NBC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/igp-sirro-akutana-na-mkurugenzi.html
0 Response to "IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NBC"
Post a Comment