DKT. MWANJELWA AELEKEZA KUSIMAMISHA MISHAHARA YA WAAJIRI NA MAAFISA UTUMISHI WATAKAOWASILISHA TAARIFA ZISIZO SAHIHI KWENYE MFUMO WA MALIPO YA MISHAHARA (HCMIS)

DKT. MWANJELWA AELEKEZA KUSIMAMISHA MISHAHARA YA WAAJIRI NA MAAFISA UTUMISHI WATAKAOWASILISHA TAARIFA ZISIZO SAHIHI KWENYE MFUMO WA MALIPO YA MISHAHARA (HCMIS) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. MWANJELWA AELEKEZA KUSIMAMISHA MISHAHARA YA WAAJIRI NA MAAFISA UTUMISHI WATAKAOWASILISHA TAARIFA ZISIZO SAHIHI KWENYE MFUMO WA MALIPO YA MISHAHARA (HCMIS), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. MWANJELWA AELEKEZA KUSIMAMISHA MISHAHARA YA WAAJIRI NA MAAFISA UTUMISHI WATAKAOWASILISHA TAARIFA ZISIZO SAHIHI KWENYE MFUMO WA MALIPO YA MISHAHARA (HCMIS)
kiungo : DKT. MWANJELWA AELEKEZA KUSIMAMISHA MISHAHARA YA WAAJIRI NA MAAFISA UTUMISHI WATAKAOWASILISHA TAARIFA ZISIZO SAHIHI KWENYE MFUMO WA MALIPO YA MISHAHARA (HCMIS)

soma pia


DKT. MWANJELWA AELEKEZA KUSIMAMISHA MISHAHARA YA WAAJIRI NA MAAFISA UTUMISHI WATAKAOWASILISHA TAARIFA ZISIZO SAHIHI KWENYE MFUMO WA MALIPO YA MISHAHARA (HCMIS)


Mishahara ya Waajiri na Maafisa Utumishi watakaobainika kuwasilisha taarifa za kiutumishi zisizo sahihi kupitia Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara Serikalini (HCMIS) itasimamishwa mara moja na Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, Ofisi Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ili kuwakumbusha waajiri na maafisa hao kuhakikisha wanawasilisha taarifa sahihi na kwa wakati.

Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) alipokutana na watumishi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji na kufahamu vema majukumu ya idara hiyo.

Ili kuimarisha nidhamu ya utendaji kazi, Mhe. Dkt. Mwanjelwa amewataka watumishi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini kutosita hata mara moja kusimamisha mshahara wa mwajiri au afisa utumishi yeyote atakaebainika kuwasilisha taarifa zenye udanganyifu na kuwataka kutozifanyia kazi na kuzirejesha mara moja kwa waajiri na maafisa hao.

Mhe. Dkt. Mwanjelwa ameainisha kuwa, lawama nyingi zimekuwa zikielekezwa Ofisi ya Rais-Utumishi hata kosa linapokuwa kwa waajiri, hivyo amewataka waajiri wote nchini kuhakikisha wanatenda haki kwa kuwasilisha taarifa sahihi na kwa wakati ili ziweze kufanyiwa kazi.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wa Idara ya Usimamizi wa Rasimaliwatu katika Utumishi wa Umma, Ofisi ya  Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipoitembelea idara hiyo jijini Dodoma kwa lengo la kufahamu majukumu ya idara na kuhimiza uwajibikaji.
Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasimali Watu katika Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Ibrahim Mahumi (kushoto) akifafanua majukumu ya Idara yake kwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) (kulia) alipoitembelea idara hiyo jijini Dodoma kwa lengo la kufahamu majukumu ya idara na kuhimiza uwajibikaji.

Baadhi ya watumishi wa Idara ya Usimamizi wa Rasimaliwatu katika Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) (hayupo pichani) alipoitembelea idara hiyo jijini Dodoma kwa lengo la kufahamu majukumu ya idara na kuhimiza uwajibikaji



Hivyo makala DKT. MWANJELWA AELEKEZA KUSIMAMISHA MISHAHARA YA WAAJIRI NA MAAFISA UTUMISHI WATAKAOWASILISHA TAARIFA ZISIZO SAHIHI KWENYE MFUMO WA MALIPO YA MISHAHARA (HCMIS)

yaani makala yote DKT. MWANJELWA AELEKEZA KUSIMAMISHA MISHAHARA YA WAAJIRI NA MAAFISA UTUMISHI WATAKAOWASILISHA TAARIFA ZISIZO SAHIHI KWENYE MFUMO WA MALIPO YA MISHAHARA (HCMIS) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. MWANJELWA AELEKEZA KUSIMAMISHA MISHAHARA YA WAAJIRI NA MAAFISA UTUMISHI WATAKAOWASILISHA TAARIFA ZISIZO SAHIHI KWENYE MFUMO WA MALIPO YA MISHAHARA (HCMIS) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/dkt-mwanjelwa-aelekeza-kusimamisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT. MWANJELWA AELEKEZA KUSIMAMISHA MISHAHARA YA WAAJIRI NA MAAFISA UTUMISHI WATAKAOWASILISHA TAARIFA ZISIZO SAHIHI KWENYE MFUMO WA MALIPO YA MISHAHARA (HCMIS)"

Post a Comment