BREAKING NEWS : ALIYEDAIWA KUTAKA KUMUHONGA LUKUVI AACHIWA HURU,UPANDE WA MASHTAKA WASHINDWA KUTHIBITISHA

BREAKING NEWS : ALIYEDAIWA KUTAKA KUMUHONGA LUKUVI AACHIWA HURU,UPANDE WA MASHTAKA WASHINDWA KUTHIBITISHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWS : ALIYEDAIWA KUTAKA KUMUHONGA LUKUVI AACHIWA HURU,UPANDE WA MASHTAKA WASHINDWA KUTHIBITISHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWS : ALIYEDAIWA KUTAKA KUMUHONGA LUKUVI AACHIWA HURU,UPANDE WA MASHTAKA WASHINDWA KUTHIBITISHA
kiungo : BREAKING NEWS : ALIYEDAIWA KUTAKA KUMUHONGA LUKUVI AACHIWA HURU,UPANDE WA MASHTAKA WASHINDWA KUTHIBITISHA

soma pia


BREAKING NEWS : ALIYEDAIWA KUTAKA KUMUHONGA LUKUVI AACHIWA HURU,UPANDE WA MASHTAKA WASHINDWA KUTHIBITISHA

Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo Desemba 24,2018 imemuachia huru mfanyabiashara Mohamed Kiluwa (50)  (Pichani kushoto) ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Kiluwa Steal Group. Co.ltd na Kiluwa Free Processing Zone aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kutoa rushwa ya Sh. Milioni 90 kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi baaada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha shtaka hilo la rushwa dhidi yake.
Mfanyabiashara Mohamed Kiluwa (50)  (Pichani kulia)  ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Kiluwa Steal Group. Co.ltd na Kiluwa Free Processing Zone akiwa na Wakili wake Imani Madega wakitoka Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam baada ya kuachiwa huru baada ya kuachiwa huru katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kudaiwa kutoa rushwa ya Sh. Milioni 90 kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi,ambapo upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha shtaka hilo la rushwa dhidi yake.


HABARI KAMILI  YAJA.


Hivyo makala BREAKING NEWS : ALIYEDAIWA KUTAKA KUMUHONGA LUKUVI AACHIWA HURU,UPANDE WA MASHTAKA WASHINDWA KUTHIBITISHA

yaani makala yote BREAKING NEWS : ALIYEDAIWA KUTAKA KUMUHONGA LUKUVI AACHIWA HURU,UPANDE WA MASHTAKA WASHINDWA KUTHIBITISHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS : ALIYEDAIWA KUTAKA KUMUHONGA LUKUVI AACHIWA HURU,UPANDE WA MASHTAKA WASHINDWA KUTHIBITISHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/breaking-news-aliyedaiwa-kutaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWS : ALIYEDAIWA KUTAKA KUMUHONGA LUKUVI AACHIWA HURU,UPANDE WA MASHTAKA WASHINDWA KUTHIBITISHA"

Post a Comment