Namshukuru Mungu sikufikia hatua ya kujiuza – Saida Karoli

Namshukuru Mungu sikufikia hatua ya kujiuza – Saida Karoli - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Namshukuru Mungu sikufikia hatua ya kujiuza – Saida Karoli, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Namshukuru Mungu sikufikia hatua ya kujiuza – Saida Karoli
kiungo : Namshukuru Mungu sikufikia hatua ya kujiuza – Saida Karoli

soma pia


Namshukuru Mungu sikufikia hatua ya kujiuza – Saida Karoli


Msanii wa muziki wa asili Bongo, Saida Karoli amesema licha ya yeye kushuka kimuziki hakufikia hatua ya kujiuza.
Saida ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake ‘Orugambo’, ameeleza licha ya kuepuka hilo hata unywaji wa pombe alisitisha.

“Vitu vingi nilipitia ila namshukuru Mwenyenzi Mungu sikufikia hatua ya kusema najiuza, na mpaka mtu anafikia anaona yeye sio kitu anaenda kujiuza barabarani, kuuza mwili wake lakini mimi sikufanya hivyo,” Saida ameiambia Power Breakfast ya Clouds FM na kuongeza.

“Nilikuwa nakunywa pombe sana lakini kutokana na kushuka kwangu nikaona na pombe niache tangu mwaka 2006, situmii bia, situmii Sigara namshukuru Mwenyenzi Mungu amenipa ustahimilivu nimesimama wima hatimae nimerudi Saida yule yule,” amesistiza.

By Peter Akaro


Hivyo makala Namshukuru Mungu sikufikia hatua ya kujiuza – Saida Karoli

yaani makala yote Namshukuru Mungu sikufikia hatua ya kujiuza – Saida Karoli Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Namshukuru Mungu sikufikia hatua ya kujiuza – Saida Karoli mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/namshukuru-mungu-sikufikia-hatua-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Namshukuru Mungu sikufikia hatua ya kujiuza – Saida Karoli"

Post a Comment