AWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI

AWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI
kiungo : AWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI

soma pia


AWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI

Naibu Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb) leo amehitimisha ziara Ruangwa Mkoani Lindi kwa kukagua miradi ya Kitandi, Mihewe na Mbekenyera. Aidha Mheshimiwa Aweso amefanya ziara Wilayani Nachingwea kwa kukagua miradi ya Mtua na Chimbendenga.
 Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso akipewa maelezo juu mitambo ya kusafisha maji ya mradi wa Mbekenyera - Ruangwa.
 Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiongea na Mkazi wa Mtua alipokuwa akikagua mradi wa maji katika kijiji hicho wakati wa ziara yake aliyoifanya leo.
Naibu wa Maji Jumaa Aweso akiongea na wananchi wa Chimbenenga Nachingwea wakati wa wa ziara yake ya kukagua miradi ya maji.


Hivyo makala AWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI

yaani makala yote AWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/aweso-afanya-ziara-ruangwa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI"

Post a Comment