title : WIZARA YA ELIMU MAANDALIZI NA MSINGI YAWAPATIA DAWA ZA MENO BURE WANAFUNZI WA MAANDALIZI MFENESIN
kiungo : WIZARA YA ELIMU MAANDALIZI NA MSINGI YAWAPATIA DAWA ZA MENO BURE WANAFUNZI WA MAANDALIZI MFENESIN
WIZARA YA ELIMU MAANDALIZI NA MSINGI YAWAPATIA DAWA ZA MENO BURE WANAFUNZI WA MAANDALIZI MFENESIN
Mkurugenzi Idara ya Elimu Maandalizi na Msingi Safia Ali Rijali akimkabidhi dawa za meno aina ya Colget Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Maandalizi ya kiislamu Mfenesini Rehema Suleiman Kasanga katika ghafla iliyofanyika Skulini hapo.
Afisa Elimu Msingi Asya Hassan Mussa akigawa dawa za meno aina ya Colget kwa wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi ya kiislamu Mfenesini kwa lengo la kuimarisha usafi wa kinywa.
Wanafunzi wa Maandalizi Skuli ya kiislamu Mfenesini wakifurahiya kupatiwa dawa za meno kwa lengo la la kuimarisha usafi wa kinywa.
Picha na Abdalla Omar Habari – Maelezo Zanzibar.
Hivyo makala WIZARA YA ELIMU MAANDALIZI NA MSINGI YAWAPATIA DAWA ZA MENO BURE WANAFUNZI WA MAANDALIZI MFENESIN
yaani makala yote WIZARA YA ELIMU MAANDALIZI NA MSINGI YAWAPATIA DAWA ZA MENO BURE WANAFUNZI WA MAANDALIZI MFENESIN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA ELIMU MAANDALIZI NA MSINGI YAWAPATIA DAWA ZA MENO BURE WANAFUNZI WA MAANDALIZI MFENESIN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/wizara-ya-elimu-maandalizi-na-msingi.html
0 Response to "WIZARA YA ELIMU MAANDALIZI NA MSINGI YAWAPATIA DAWA ZA MENO BURE WANAFUNZI WA MAANDALIZI MFENESIN"
Post a Comment