KAMPUNI YA AECCO CONSULTING YAANDAA MAONESHO YA MAWASILIANO KUKUZA SOKO LA TEKNOLOJIA.

KAMPUNI YA AECCO CONSULTING YAANDAA MAONESHO YA MAWASILIANO KUKUZA SOKO LA TEKNOLOJIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI YA AECCO CONSULTING YAANDAA MAONESHO YA MAWASILIANO KUKUZA SOKO LA TEKNOLOJIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI YA AECCO CONSULTING YAANDAA MAONESHO YA MAWASILIANO KUKUZA SOKO LA TEKNOLOJIA.
kiungo : KAMPUNI YA AECCO CONSULTING YAANDAA MAONESHO YA MAWASILIANO KUKUZA SOKO LA TEKNOLOJIA.

soma pia


KAMPUNI YA AECCO CONSULTING YAANDAA MAONESHO YA MAWASILIANO KUKUZA SOKO LA TEKNOLOJIA.

 Meneja mradi Kampuni ya EACCO Consulting Jacqueline Burettar (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
 Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ndaki ya Tehama akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu maonesho ya mawasiliano.
Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Kampuni ya EACCO Consulting kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ndaki ya Tehama wameandaa meonesho ya mawasiliano yanayotarajia kufanyika Novemba I5 hadi I7 mwaka huu katika viwanja vya UDSM Kijitonyama.

Maonesho hayo yatashirikisha washiriki I8 kutoka sekta za biashara na huduma za kiteknolojia, huku mgeni rasmi anatarajia kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Meneja mradi Kampuni ya EACCO Consulting Jacqueline Burettar, amesema kuwa maonesho hayo yatatoa fursa kwa watoa huduma wa mawasiliano na mitandao katika  kuonesha bidhaa za kibunifu.

Burettar amesema kuwa kupitia maonesha hayo itasaidia kukuza na kupanua soko la teknolojia ya mawasiliano kwa wauzaji na watumiaji hapa nchini.

"Wadau wa mawasiliano watabadilishana utaalamu wa kiteknolojia pamoja kukutana na watu wa mawasiliano, kutambulisha huduma zao, kujenga mahusiano ya kibiashara na watoa huduma"amesema Burettar.

Hata hivyo ameeleza kuwa washiriki watakaonesha ubunifu mzuri watapata fursa ya kuendeleza ubunifu wao ili waweze kuleta tija kwa taifa.

" Watanzania wote wanatakiwa kufikia katika maonesho hayo kwa ajili ya kujifunza masula mbalimbali ya mawasiliano, hakuna kiingilio" amesema 

Afisa Mipango Kampuni ya AECCO Consulting Hamisi Kisase, amesema kuwa washiriki wa maonesha wamejipanga vizuri katika kuhakikisha wanaonesha ubunifu wao.

Kisesa amesema kuwa washiriki katika maonesho hayo ni pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ndaki ya tehama, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), National Internet Data Center (NIDC), Tanzania Internet Service Providers Association (TISPA).

Tanzania Telecommunications Company  (TTCL), Commisission for Science and Technology (COSTECH), Innovation:KID's TV, Innovation: STEM Subject, Equity Bank, JUMIA, KiKuu pamoja na NAS Mobile.

Washiriki wengine ni Tigo Tanzania, Smile Communication, Shule Direct, Ally Juma Matelephone, Kosh Mobile pamoja na  RADA' A Phones.

NetXpo ni maonesho yatakuwa yanafanyika kila mwaka mwezi Novemba jiji Dar es Salaam.




Hivyo makala KAMPUNI YA AECCO CONSULTING YAANDAA MAONESHO YA MAWASILIANO KUKUZA SOKO LA TEKNOLOJIA.

yaani makala yote KAMPUNI YA AECCO CONSULTING YAANDAA MAONESHO YA MAWASILIANO KUKUZA SOKO LA TEKNOLOJIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA AECCO CONSULTING YAANDAA MAONESHO YA MAWASILIANO KUKUZA SOKO LA TEKNOLOJIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/kampuni-ya-aecco-consulting-yaandaa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI YA AECCO CONSULTING YAANDAA MAONESHO YA MAWASILIANO KUKUZA SOKO LA TEKNOLOJIA."

Post a Comment