WEMA SEPETU KORTINI KWA TUHUMA ZA KUWEKA PICHA ZA NGONO MTANDAONI

WEMA SEPETU KORTINI KWA TUHUMA ZA KUWEKA PICHA ZA NGONO MTANDAONI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WEMA SEPETU KORTINI KWA TUHUMA ZA KUWEKA PICHA ZA NGONO MTANDAONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WEMA SEPETU KORTINI KWA TUHUMA ZA KUWEKA PICHA ZA NGONO MTANDAONI
kiungo : WEMA SEPETU KORTINI KWA TUHUMA ZA KUWEKA PICHA ZA NGONO MTANDAONI

soma pia


WEMA SEPETU KORTINI KWA TUHUMA ZA KUWEKA PICHA ZA NGONO MTANDAONI

Na Karama Kenyunko, Blogu ya Jamii.

MUIGIZAJI maarufu wa filamu Tanzania Wema Sepetu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Novemba Mosi, 2018, akikabiliwa na shtaka moja la kuchapisha picha za ngono mtandaoni.

Wema ambaye pia ni Miss Tanzania mwaka 2006, anashtakiwa chini ya kifungu cha sheria namba 14(1)(b) na( 2) (b) cha makosa ya mtandao.Akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali Mwanaamina Kombakono amedai mbele ya Hakimu Mkazi Maira Kasonde kuwa  Oktoba 15, 2018, katika maeneo tofauti tofauti jijini Wema kupitia 
ukurasa wake wa Instagram alichapisha picha za ya video za ngono ( Phonograph).

Hata hivyo, Wema ambaye alitinga kizimbani saa saba kasorobo mchana amekana kutenda kosa hilo.Wakili anayemtetea Wema, Simwanza Rubeni ameiomba Mahakama kumpatia mteja wake dhamana kwa kuwa shtaka linalomkabili mshtakiwa Wema 
linadhaminika.

Pia ameiomba Mahakama kumpatia mteja wake huyo masharti nafuu 
ya dhamana.Hata Wakili Kombakono alipinga na kuiomba mahakama kumpatia mshtakiwa huyo masharti magumu ya dhamana kwani kitendo alichofanya kijamii na kimaadili linapingana kabisa na maadili ya Tanzania, amedai mshtakiwa Wema pia anafollowers wengi sana kwenye ukurasa wake wakiwemo watoto wadogo ambao wanakuwa wanafuatilia kile anachofanya.

"Tunaomba mahakama ikiwezekana iweke masharti magumu kwake ili iwe fundisho kwa wale ambao wangependa kuiga,"amesema Wakili.Hata hivyo Wema yuko nje kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana.Mahakama imemtaka Wema mwenyewe kisaini bondi ya sh. Milioni 10 na kuwa na mdhamini mmoja ambaye atakayesaini bondi ya kiasi hicho cha fedha.

Pia Mahakama imempiga marufuku mshtakiwa Wema kutochapisha picha yoyote ya ngono katika ukurasa wake wa Instagram au kuchapisha maneno yoyote yenye viashiria vya ngono.Kesi hiyo  imeahirishwa hadi Novemba 20.2018 Kwa mujibu wa upande wa 
mashtaka upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika.


Hivyo makala WEMA SEPETU KORTINI KWA TUHUMA ZA KUWEKA PICHA ZA NGONO MTANDAONI

yaani makala yote WEMA SEPETU KORTINI KWA TUHUMA ZA KUWEKA PICHA ZA NGONO MTANDAONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WEMA SEPETU KORTINI KWA TUHUMA ZA KUWEKA PICHA ZA NGONO MTANDAONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/wema-sepetu-kortini-kwa-tuhuma-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WEMA SEPETU KORTINI KWA TUHUMA ZA KUWEKA PICHA ZA NGONO MTANDAONI"

Post a Comment