RAIS MAGUFULI ASEMA SERIKALI YAKE INAYO FEDHA ZA KUTOSHA

RAIS MAGUFULI ASEMA SERIKALI YAKE INAYO FEDHA ZA KUTOSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI ASEMA SERIKALI YAKE INAYO FEDHA ZA KUTOSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI ASEMA SERIKALI YAKE INAYO FEDHA ZA KUTOSHA
kiungo : RAIS MAGUFULI ASEMA SERIKALI YAKE INAYO FEDHA ZA KUTOSHA

soma pia


RAIS MAGUFULI ASEMA SERIKALI YAKE INAYO FEDHA ZA KUTOSHA

*Aamua kugusia alivyobana mianya ya upotevu wa fedha 
*Aeleza namna Serikali inavyotekeleza miradi bila wafadhili

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

RAIS Dk.John Magufuli amewahakikishia Watanzania kuwa hivi sasa Serikali yake inayo fedha za kutosha ambayo inaweza kuiendesha nchi kwa miezi sita kwa kununua bidhaa bila tatizo lolote huku akieleza kuwa fedha zilizopo ndio maana wakati mwingine zinasababisha kiburi 
ambacho wakubwa hawapendi.

Dk.Magufuli amesema hayo leo kwenye Kongamano la uchumi lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambapo pamoja na kuelezea mambo mbalimbali ambayo yamefanywa na Serikali ya Awamu ya Tano amezungumzia namna ambavyo wamefanikiwa kudhibiti upotevu wa fedha.

"Tuna pesa za kufanya mambo yetu na unapokuwa na pesa wakati mwingine unakuwa na jeuri ambayo hata hivyo haipendwi na wakubwa.Ukweli ni kwamba tumeziba mirija ya kuvujisha fedha na ndio maana hata makusanyo yameongezeka,"amesema.Amefafanua katika jitihada za kuziba upotevu wa fedha Serikali yake iliamua kuweka mkakati wa kuondoa watumishi hewa ambapo kwa mwezi Serikali ilikuwa inalipa Sh.bilioni 423 kwa mwaka kwa watu ambao hawapo."Kwa mwezi tulikuwa tunalipa mshahara wa Sh.bilioni 777 na bada ya uhakiki mishara inayolipwa kwa mwezi ni Sh.bilioni 251 kwa mwezi,"amesema Rais Magufuli.



Hivyo makala RAIS MAGUFULI ASEMA SERIKALI YAKE INAYO FEDHA ZA KUTOSHA

yaani makala yote RAIS MAGUFULI ASEMA SERIKALI YAKE INAYO FEDHA ZA KUTOSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI ASEMA SERIKALI YAKE INAYO FEDHA ZA KUTOSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/rais-magufuli-asema-serikali-yake-inayo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS MAGUFULI ASEMA SERIKALI YAKE INAYO FEDHA ZA KUTOSHA"

Post a Comment