title : WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA BALOZI AMINA SALUM ALI AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR
kiungo : WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA BALOZI AMINA SALUM ALI AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR
WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA BALOZI AMINA SALUM ALI AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandhishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya kutimia miaka 50 toka kuundwa kwa Shirika la ZSTC 1968 mkutano uliofanyika katika ukumbi wa ZSTC Migombani mjini Zanzibar.
Muandishi wa Habari wa Bahari FM Tabia Makame akiuliza maswali katika mkutano na Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali kuhusiana na Maadhimisho ya kutimia miaka 50 toka kuundwa kwa Shirika la ZSTC 1968 mkutano uliofanyika katika ukumbi wa ZSTC Migombani mjini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Kariym akiuliza maswali katika mkutano na Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali kuhusiana na Maadhimisho ya kutimia miaka 50 toka kuundwa kwa Shirika la ZSTC 1968 mkutano uliofanyika katika ukumbi wa ZSTC Migombani mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA BALOZI AMINA SALUM ALI AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR
yaani makala yote WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA BALOZI AMINA SALUM ALI AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA BALOZI AMINA SALUM ALI AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/waziri-wa-biashara-na-viwanda-balozi.html
0 Response to "WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA BALOZI AMINA SALUM ALI AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR"
Post a Comment