Gulio la TCRA kuelimisha umma juu ya matumizi bora ya huduma za mawasiliano lafana

Gulio la TCRA kuelimisha umma juu ya matumizi bora ya huduma za mawasiliano lafana - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Gulio la TCRA kuelimisha umma juu ya matumizi bora ya huduma za mawasiliano lafana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Gulio la TCRA kuelimisha umma juu ya matumizi bora ya huduma za mawasiliano lafana
kiungo : Gulio la TCRA kuelimisha umma juu ya matumizi bora ya huduma za mawasiliano lafana

soma pia


Gulio la TCRA kuelimisha umma juu ya matumizi bora ya huduma za mawasiliano lafana

Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imesema kuwa wananchi wanatakiwa kutumia Mawasiliano kwa maendeleo. Hayo ameyasema Mkuu wa Kitengo cha Watumiaji wa Mawasiliano wa TCRA Thadayo Ringo wakati wa Gulio lililofanyika kata Ilembo mkoani Mbeya amesema kuwa mawasiliano yameleta fursa kwa wananchi hivyo watumie katika kujiletea maendeleo.

Amesema kuwa katika uchumi wa viwanda hivyo watumie katika kutangaza biashara au bidhaa wanazozalisha viwandani. "TCRA itaendelea kutoa elimu katika kuhakikisha kila mwananchi anatumia mawasiliano katika kujiletea uchumi na sio kutumia kwa matumizi yasiyo na faida"amesema
Aidha amesema kuwa katika Gulio katika sehemu mbalimbali wameambata na watoa huduma za mawasiliano, pamoja na Jeshi la Polisi ili kutoa elimu kwa wananchi hao.

 Wananchi wa Kata ya Ilembo wakiwa kwenye banda la TCRA baada ya kuwasogezea huduma za za utoaji huduma ya mawasiliano  wakati wa Gulio la TCRA la kuelimisha umma juu ya matumizi bora ya huduma za mawasiliano.



Hivyo makala Gulio la TCRA kuelimisha umma juu ya matumizi bora ya huduma za mawasiliano lafana

yaani makala yote Gulio la TCRA kuelimisha umma juu ya matumizi bora ya huduma za mawasiliano lafana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Gulio la TCRA kuelimisha umma juu ya matumizi bora ya huduma za mawasiliano lafana mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/gulio-la-tcra-kuelimisha-umma-juu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Gulio la TCRA kuelimisha umma juu ya matumizi bora ya huduma za mawasiliano lafana"

Post a Comment