Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo

Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo
kiungo : Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo

soma pia


Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo

WASHIRIKI wa Shindano la Master Tanzania 2018/19, wanatarajiwa kutambulishwa leo Forty Forty Club, iliyopo Tabata Bima, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na gazeti hili jana, Mratibu wa shindano hilo, Michael Maurus, alisema kuwa utambulisho huo ni sehemu ya maandalizi ya shoo ‘bab kubwa’ ya mchujo itakayofanyika wikiendi ya pili ya mwezi huu katika ukumbi utakaotangazwa.

Alisema kuwa jumla ya washiriki 30 watakuwapo Forty Forty leo ambapo watapata nafasi ya kujitambulisha mbele ya wadau wa sanaa ya uanamitindo na burudani kwa ujumla.“Tunaushukuru uongozi wa Forty Forty kwa kutupa nafasi hii, wadau wa burudani waje kwa wingi kuwaona vijana wanatashati watakaoshiriki shindano letu ambalo fainali zake zitafanyika Februari mwakani kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam,” alisema Maurus.

Maurus alisema kabla ya fainali za shindano hilo, kutakuwa na hatua ya robo na nusu fainali ambapo lengo lao ni kuwa na washiriki wa awali 50.

“Lengo letu ni kuwa na washiriki 50 na kesho (leo) ni siku ya mwisho kwa vijana wanaopenda kushiriki mashindano hayo kujiandikisha, baada ya hapo watalazimika kulipia fomu. Hivyo kwa wanaopenda kushiriki, waje pale Forty Forty kuanzia saa 2:00 usiku wachukue fomu, wazijaze na kuzirejesha hapo hapo,” alisisitiza Maurus.
Baadhi ya washiriki Master Tanzania 2018



Hivyo makala Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo

yaani makala yote Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/washiriki-master-tanzania-kutambulishwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo"

Post a Comment